Msaada wana JF

Status
Not open for further replies.

Nyuki baby

Member
Feb 24, 2012
85
8
Nataka kubadili jina JF kwani manzi wangu kajiunga nimegundua jana baada ya kupost habari nae kunijibu kwamba ashajua nami nimo! Na sababu ya kutaka kubadili ni kwamba kuna time zingine uwa na post matatizo yangu ambayo yeye apaswi kujua! nisaidieni jamanh!
 
Duh m PM mod yeyote akusaidie
Fang saidia huyu mtu
 
Last edited by a moderator:
Nitumie PM pamoja na ada ya Tsh. 25000 kwa M Pesa namba TANMO00063 Kisha nitakubadilishia jina..
 
Na ameshajua kwamba unataka kubadili ID............Mimi nilikuwa jirani yako miaka 2 iliyopita so sitakubali shemeji yangu umfanzie flirting naona!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom