Unataka niendelee?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Alimtesa sana girlfriend wake,alikuwa anaonyesha live kwamba anaenda kubroke up mda mfupi ujao,girlfriend naye aligundua kinachoendelea na akaamua kuliko amkose heri amtoe roho boyfriend wake,ikafika mda wa usiku saa tano kwenda out labda club au kwingine nisikojua mimi,girl akachukua gari lake na kwenda ghetoni kwa boyfriend na kumwambia apande gari ili waende club,kumbe girl aliwaweka wanaume wengine kwenye buti ya gari,boyfriend alipopanda tu kwenye gari alikamatwa na kufungiwa kitambaa mdomoni ili asitoe sauti,kisha akawekwa kwenye buti la gari...girlfriend akaingia usukani huku wanaume hao watatu wamekaa viti vya nyuma wakiwa wamebeba shoka ya kumkata shingo boyfriend wa huyo demu,jembe na sepeto ambalo litatumika kumzika huyo boyfriend akiwa mzima bila kutolewa roho kwanza.Boyfriend ndani ya buti ya gari hawezi kupiga kelele mdomo umefungwa,gari inaelekea kwenye msitu mkubwa na kufunga breki,wanaume watatu wanashuka na wanaanza kuchimba shimo kubwa huku wakinoa panga................

Unataka niendelee?
 
Usiendelee, real life story more interesting than fiction!

Usijali endelea other people love fiction.
 
Comi......... Kaunga......... charminglady and FirstLady1
haikuwa ndoto ni kitu live bila chenga....boyfriend akaanza kuomba dua yake ya mwisho akisema ''Ee mwenyenzi mungu niepushe na hiki kikombe,niokoe mja wako,nimekukosea nini mungu wangu mpaka nitolewe roho,huku chozi linamtoka ila haweza kuongea bali sala ya kimoyomoyo,girl anatoka nje ya gari na kumwambia kwa madharau "najua utamiss kiss yangy na penzi nililokupa,utamiss mauno niliyokupa,ila go to hell",kisha anamtaza bf wake machoni,wanaume wanakuja kuwatenganisha na wanamkamata boyfriend kisha wanamsogeza karibu na shimo la kaburi lake yenye mita isiyopungua 15
 
Last edited by a moderator:

Endeleaaaaa!!
 
endelea nimeipenda sana
 
hivi hapa ndio mwisho ...? mwisho kabisa
 
Back
Top Bottom