Mwalimu wa stadi za kazi

Mwalimu wa stadi za kazi

Malunkwi

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Posts
338
Reaction score
80
Mwalimu (wa primary) aliingia darasani;mara baada ya salamu,akawapa wanafunzi wake zoezi, na kuwaambia; "kila mmoja achukue kalamu na karatasi na amchore Tembo", kila mwanafunzi alitingwa na zoezi hilo. Baada ya kumaliza, akaanza kupitia dawati moja baada ya lingine;kwa tahayari,akamkuta mwanafunzi mmoja kwenye karatasi yake kachora nukta. Mwalimu kwa hasira akamuuliza mwanafunzi, "wewe, mbona hujamchora tembo?", mwanafunzi kwa kujiamini akamjibu mwalimu, " aaah, mi nimemchora tembo akiwa kwa mbaaaaaaali"...............
 
hahaha!huyo denti anajua haSwaa sanaa ya uchoraji!
 
Ha ha haaaa, huyo atakuwa mwanafunzi wa Terrat!
 
Kina masud kipanya ndo walianzia hukohuko
 
Back
Top Bottom