Happy birthday my love....
may god bless you everyday....
sina mengi ya kusema
but just know you are more than a woman....
any guy would so lucky to have you ......
happy birthday .....smile...
Siku moja baba manka alidondoka kwenye kisima cha maji akapiga kelele huku anatapatapa mama manka akaja na kamba mpya akamrushia; baba manka akauliza umenunua sh. ngapi? Mama manka akamjibu...
Kipenzi changu Amyner....!
Najua nilikukosea sana ila nashukuru things are now good,kweli u muelewa na mwenye mapenzi ya dhati kwangu,Nakuahidi kulinda penzi letu kwa nguvu zote!
Pia hii ishu...
Q: Why are co****oms transparent?
A: So that sperms can at least enjoy the scene even if their entry is restricted!
Signboard outside a prostitute's house:
Married MEN not allowed. We serve the...
Kisa cha kweli kilinitokea miaka ya nyuma huko, aisee siku hiyo nilikuwa nimelala na laaziz wangu, basi ndoto zikanipata nikaanza kumuota darling wangu mwingine, afu tena kwa sauti "Diana...
Kinywaji hiki pamoja na sifa nyengine kama vile kuongeza vitamini B na madini kama fosforasi magnesi na kalisi, pia kinazo anti-rusts zinazoifanya ngozi kupona haraka na hata kurudisha ujana...
Nimepata kusikia mtu yuko jela ila wiki iliyopita...........nilijikuta nimefungwa kifungo cha wiki moja jela nje ya jamii ya jamuhuri ya Muungano wa JF!!
Nilikaa gerezani nikiwaza watu wangu nilio...
Ingeamuliwa wana JF wote wabidili avatar zao kesho kwa sharti kuwa unaweza tu kuweka aavatar ambayo iko jf kwa sasa ili mradi siyo yako.
Wewe ungeweka avatar ya nani?
Nikiwa kazini katika kampuni ya ujenzi barabara hapa mjini iringa nilishuhudia kihoja hiki.Kampuni ya Interbeton baada ya kupata hasara kubwa kutokana na wizi wa mafuta,imeamua kuajiri wazungu ili...