Kampeni - Kunwa BIA, okoa MAJI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampeni - Kunwa BIA, okoa MAJI

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MAMMAMIA, Jun 19, 2012.

 1. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kinywaji hiki pamoja na sifa nyengine kama vile kuongeza vitamini B na madini kama fosforasi magnesi na kalisi, pia kinazo “anti-rusts” zinazoifanya ngozi kupona haraka na hata kurudisha ujana. Pia anti-rusts hizi ni muhimu dhidi ya magonjwa ya moyo, kiasi kwamba wataalamu wa afya wanapendekeza kinywaji hiki kiwemo katika mlo wa binadamu, kwa kiwango maalumu. Kumbuka, “Mno hudhuru”.

  Kwa hivyo, ili kuokoa maji, KUNYWA BIA, OKOA MAJI
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Hapa Asprin lazima atakimbilia kuchangia ngoja nisubiri post yake
   
 3. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mambo ya "kukunwa" tena mmmh Mama Mia mbona unaturusha roho?
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Typing Error hiyo ndugu.................
   
 5. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Ngoja nimalizie hii iliyobaki ndiyo nije kuchangia
   
 6. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,768
  Likes Received: 1,898
  Trophy Points: 280
  Mchana huu?
   
 7. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Nilimtarajia Aspirin na Tusker lakini sijui ndio wanamalizia ya mwisho?

  Nilikosea, hata hivyo haikuwa "kukunwa" bali kunwa. Nimesharekebisha.

  Asante Dena, nimesharekebisha.
  Any time is KILI time.
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Haki Ya Mungu hii ni post kali ya mwaka. Hii ingetoka Ijumaa ningekuwa nshamtoroka mkoloni. Uchunguzi uliofanyika kwa kuwahusisha baadhi ya malaika umethibitisha kuwa kila bia moja unayokunywa unafutiwa dhambi moja.... Yaani ukanywa bia tatu afu ukaenda gesti kumlala mke wa mtu ukamnyunyizia protini mara tatu unakuwa hujahesabiwa dhambi. Kulaaaleki!

  Mpigieni makofi matatu aliyegundua bia, hasa Tusker Malt na Guinness the POWER manake ukipiga hiyo makitu unakuwa tishio kama huu mdude unavyomfukuza mnywa Fanta.
  [​IMG]
   
 9. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mkuu umemalizo yote - Kuna hata maandiko yanasema BIA ni kinywaji cha peponi - Kudadadeeeeeek!
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Kulaaaleki, ni kwa mustakabali huo huo.......... Kuliko kuiacha bia ni bora ufanye marathon na simba... Manina! Mpaka kieleweke!

  [​IMG]
   
 11. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  One friend of mine once said, "I always make friends when I've a beer in hand not with a cup of milk" and there is a common saying,"One beer a day keeps the doctor away".
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  napita mieeeeee
   
Loading...