Kesho siku ya kubadili avatar

Kesho siku ya kubadili avatar

Sungurampole

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2007
Posts
984
Reaction score
206
Ingeamuliwa wana JF wote wabidili avatar zao kesho kwa sharti kuwa unaweza tu kuweka aavatar ambayo iko jf kwa sasa ili mradi siyo yako.

Wewe ungeweka avatar ya nani?
 
Kwa hasira nisingeweka avatar ili wanipige ban, kwa sababu naipenda sana avatar yangu kuliko
 
Ingeamuliwa wana JF wote wabidili avatar zao kesho kwa sharti kuwa unaweza tu kuweka aavatar ambayo iko jf kwa sasa ili mradi siyo yako.

Wewe ungeweka avatar ya nani?
ningechukua zote divide by zote......!:bump:
 
5dba17ee-081c-b853.jpg


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom