Hodi hodi humu ndani.

Nabisha hodi humu ndani! Hali zenu wapendwa wa Chit-Chat?
Karibu mkuu...

Ila chonde chonde usiingie mpaka chumbani.....Niko na shemeji yenu BADILI TABIA tunajadili uzazi wa mpango. Kuna vibinti humu Erotica, charminglady, CUTE na Yummy, utakaye mtaka nitumie PM nikuunganishie. Ila angalizo, Yummy alikuwa demu wangu kabla sijatahiriwa.
429400_260307287384070_100002144028568_563061_1619268228_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
Huyu Zinduna mmh! Dharula anaonekana kwa ngoma hajambo! hanifai mm napenda Bolingo yeye mdundiko tutafanana kweli hapo?
Charminglady anajiremba mno mpaka naumuogopa, Yummy mashaallah portable,Smiles afananii kabisa na jina lake, Cute loh nafsi inaninyongonyea maana ndio haswaa ugonjwa wangu sasa napata kigugumizi sijui niende wapi Erotica au Cute?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom