Nilipigwa bonge la kofi ndotoni Khaaa.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilipigwa bonge la kofi ndotoni Khaaa....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by TajiriMutoto, Jun 20, 2012.

 1. TajiriMutoto

  TajiriMutoto Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kisa cha kweli kilinitokea miaka ya nyuma huko, aisee siku hiyo nilikuwa nimelala na laaziz wangu, basi ndoto zikanipata nikaanza kumuota darling wangu mwingine, afu tena kwa sauti "Diana, Diana....", kumbe laaziz wangu pembeni hajalala bana, alinipa bonge la kofi [​IMG] yani nilishtuka usingizini na mkofi afu ndo kesi ikaanza sasa nitoe maelezo ya huyo Diana , Dah ilikuwa si mchezo kivumbi chake mpaka kunakucha nikanuniwa wiki, ila akaja akanisamehe:msela:tukaendelea kula Bata :A S shade:.

  Aiseee, nimeikumbuka hii, nikaona niwashirikishe wanajamvi wa Malavidavi, ndoto sometimes sio.
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Sasa kumbe unaetayari wa kuna nae bata unawatakia nini wanawake wa JF, kama huyo alikupa kofi, wa JF atakata kichwa hicho kikawekwe museum kama cha mkwawa.
   
 3. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kumbe unaye sasa kinachokusumbua kutafuta wa kula nae bata ni kipi?
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  kumbe diana alikumix eeeeeh mpaka ukamuotaaaa
   
 5. TajiriMutoto

  TajiriMutoto Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ahahahah Chauro, MadameX hizi stori za miaka ya zamani sana, nimekumbukia leo dah
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. TajiriMutoto

  TajiriMutoto Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mkuu haya mambo acha tu dah
   
 7. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hata mi ilishanitokea bahati nzuri nilikuwa kwa kimada baada ya hapo ilini bidi niende kwa doctor kucheki kama na tatizo la sleep talk.
  Ila kumbuka Mkuu ile kauli
  "A Good liar should have a good Memory"
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,699
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Unastahili.
   
Loading...