Maximo anisababishia Maisha ya JELA.....nje ya jamii ya JF!!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nimepata kusikia mtu yuko jela ila wiki iliyopita...........nilijikuta nimefungwa kifungo cha wiki moja jela nje ya jamii ya jamuhuri ya Muungano wa JF!!
Nilikaa gerezani nikiwaza watu wangu nilio waacha uraiani....kweli niliumia ila nikajipa moyo!!
Nikawakosa majirani wangu ambao niliowazoea kila siku asubuhi mchana jioni.....
Hasa nyinyi jirani zangu
  • Rutashubanyuma
  • Katavi
  • FirstLady1
  • Preta
  • Mwanajamii one
  • NN
  • Js
  • FirstLady
  • Chauro
  • Kaizer
  • KakaJambazi
  • LadyN
  • Lekanjobe Kubinika
  • Mkeshahoi
  • Team
  • TheFinest
  • Yoyo
  • Siziga
  • Babades
  • MsJudith
  • Young Master
  • Bijibuji
  • Mzee Mwanakijiji
  • Ngoswe
  • Mseven
  • Mamshika
  • Mtambuzi
  • Kongosho
  • Charminglady
  • Remmy
  • Boflo
  • Funzadume
  • Bacha
  • Husninyo
  • Smile
  • Bigrita
  • Mr.Rocy
Nawengine wengi ambao nishindwa kuwataja humu haimaanishi nyie siyo majirani bali nimeghafirika mnisamehe ila nashukuru nimetoka salama.
Nimerudi tujenge taifa letu hili la JF

Ila maisha ya Jela si mchezo .....ndo nikakumbuka wimbo wa Diamond wanakibinda nkoye!!hasa pale nilipo ona gari limeandikwa JF nakutamani kuingia na kushindwa kuingia!!!
 
hongera kwa kurudi salama,Usiombe sheria ichukue mkondo wa PAW,we maumivu yake acha tu!
 
Back
Top Bottom