Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
It is your examination season,and i wish you the very best of luck.
May you do your best and make us proud as you always do.
VD.....
![]()
It is your examination season,and i wish you the very best of luck.
May you do your best and make us proud as you always do.
VD.....
Naungana nanyi kumtakia kl la kheri.
Vuna ulichokipanda my ex-wife -online.
Salamu zako zimefika Mr Rocky....nina imani atarudi jukwaani baada ya kujipa ban
Naungana nanyi kumtakia kl la kheri.
Vuna ulichokipanda my ex-wife -online.
Dalili za wivu hizo,
si ukubali tu yaishe.
Ameshakuwa ex?.
Hiyo fake unayouza itakuwa fake kweli kweli...Mi nauza "jani a.k.a feki" ya hiyo paper inayomkabili Husninyo...
Judgement anakataa kabisa wala hajui habari zake
Wewe Vin Diesel nina wasi wasi na wewe maana unajua mpaka ratiba ya mtihani wake na maisha yake binafsi