Dawa ya Kiuno jamani ! Msaada. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya Kiuno jamani ! Msaada.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Jun 20, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Si kingine ni Kiuno! Ndiyo kinisumbuacho!
  Kamwe msinipe Miguno!
  Wajibu mnitupie Macho!
  Kiuno hakisikii Sindano!
  Kila nachotibiwa Sicho!
  Kiuno chauma meuma Meno!
  Mechoka kulala Macho!
  Wadau nipeni Mifano!
  Dawa ipi pasipo Ficho!
  Kiuno jamani Kiuno!
  Si kingine ni hicho! Sihitaji Malumbano!
  Meongea pasi Kificho!
  Wadau wenye Maono!
  Ipi dawa nipate Ponyo ?
   
 2. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Ni service ya 4500hrs.
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Taijike!
  Service ya kivipi sasa ?
  Nafsi yako imekidhika kua umenisadia kuelewa ponyo?
   
 4. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  jamani Judgement mbona tiba siku hizi zipo za buku mbili, tena diclofenac ndio ya bei hiyo, ila ukiona umpigiaye hapokei ili kukuletea tiba?? unaweza jaribu line ya tiGo, uone kama tiba italetwa haraka na upesi, pole kwa kuumwa kiuno, ni upepo tu utapita!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,060
  Likes Received: 24,064
  Trophy Points: 280
  Khaaa! We cacico ukome kuniita mimi basha lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Una miaka mingapi weye? Overhaul, change componets zote kwa 4500hrs.
   
 7. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Cacico !
  Nikushkuru angaa kwa kuthubutu kunionyesha ponyo!
  Bt ukiona KIUNO kimecrietiwa Thrade jua vya diclopenac vilishashindwa!
  Kiuno kimekua Uno lisilosikia dawa!
  Bado naendelea kutafakuri hapo kwenye kupiga tiGo !
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mkubwa Tablet!
  Mdomo huo!
  Sijui furmigation ya mdomo hua ipo?
  Kama ipo itakuhusu, hamuogopi hata kwenye Uzi wa mgonjwa, mtatupiana midongo!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,060
  Likes Received: 24,064
  Trophy Points: 280
  Ni huyu binti cacico anapenda kuniita babu basha. Sijui ni kwakuwa nilianza hii biashara nikiwa ningali bado mdogo? Poor ODM me....

  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Haya nielekeze pa kuanzia
  unaonekana unao moyo wa mie kupona.
   
 11. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hee!
  Au hajui maana ya Basha?
  Nashauri akutake razi!
  Au mpige fine!
  Tena fine yenyewe uchague wewe cha kulipwa na malibrikanti yakiwemo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,729
  Likes Received: 8,311
  Trophy Points: 280
  shemeji yangu Judgement, pole we kwa maumivu
  kwa kweli sipati picha, nadhani wewe mvivu
  yu wapi da beibe nasty, akutoe maumivu!??????
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hata mimi naumwa sana kiuno!
  Naomba mnitafutie Amyner wangu aje anisaidie faster
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  napita tu. . .
   
 15. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #15
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,729
  Likes Received: 8,311
  Trophy Points: 280
  Atlisti wewe unajua dawa tayari...! amekusikia...amekufikia...
   
 16. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Beibe Nasty ni kama keshanikimbia! She never care me perfectely!
  Yawezekana wenye pembe kubwa kunizidi washabeba!
  Mi nina about two wiks and more sinazo habari zake!
  WIMBO WA FILIMBI HAUNA MAANA IKIWA MPULIZA FILIMBI HAYUPO! kutoswa sio lazima uanzishiwe Sredi ! Ndo utambue!
  Hata kwa comments kunatambulisha.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  sikuiti tena, niatakuita babu tu! sitaki kukuita daddy kama wa mkaliwakitaa! we utakuwa babu Asprin au na babu hutaki tena???
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  babu Asprin jamani nilipojoin jei efu sweetlady alinipa intro kuwa we ni basha, sa mi nimekosea wapi!? hebu niPM basi unifafanulie nielewe nnavyopaswa kukuita lol! ila kweli nimekoma sikuiti tena basha, lol!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #19
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  he Judgement mbona kushadadia hivyo? lol! vipi kiuno mchana huu?? na ukipata tiba utujulishe pia!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #20
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  ni kujaribu kila kitu chini ya anga, kama yalivyo maua na rangi mbalimbali, na tiba pia hivyo zipo nyingi mno! jaribu kumpigia kwa airtel akuletee tiba haraka, ila kama nilivyokwambia ukiona network si nzuri jaribu pia line mwenza ya tiGo kha! nakutakia uponyaji wa haraka!
   
Loading...