Communication from top to bottom hierarchy goes as follows:
Memo from CEO to Manager:
Today at 11 o'clock there will be a total eclipse of the sun. This is when the sun disappears behind the...
Jamaa na mkewe walikuwa wameenda ukweni kusalimia. Jamaa ana kawaida ya kulia wakati wa kujamiiana.
Mme: Mke wangu vipi leo game usiku?
Mke: Hakuna gemu leo, huoni hapa ni ugenini? Nawe una...
Mke: Vipi bwana, mbona leo umerudi mapema tena kwa majonzi hivyo...??!
Mme: Wenzangu wa ofisini wote wamefariki kwa ajali ya moto.
Mke: Mungu wangu, we umeponaje?
Mme: Nilikuwa na tumbo la...
Kwa wanachama wote (Chama Cha Mabachela wa JF).
Kupitia Kwa Mlezi Wa Chama babu Asprin.
Natangaza mapema kabisa kuwa mimi Katavi nikiwa na akili timamu, nitajitoa kwenye chama hiki ndani ya...
Nisamehe My Sweet heart honey nayekupenda….
Nilikuwa nakujaribu nione kama unanipenda
Nikajificha mbali ili nione watakaolonga
Nimerudi ulingoni nione atakaye kutenda
Usijali ya wambea...
Ilikuwa ni mida ya Jioni nikiwa home,simu yangu ikiwa kwenye charge ikawa inaita na kwa kuwa bibie alikuwa karibu akaamua kuifuata akaichukua ili aniletee lol
Kucheck jina la anayepiga ni...
Jamani Ruhazwe JR na Madame B mbona hamuonekani? Au ndo mpo kijijini kwenye kikao cha usuluhishi? Mana toka Ruhazwe utangaze kumtema bibie naona ziiiiii, au mmejipiga ban?
Bakari ni house boy.mara nyingi huiba wine ya boss wake na kisha kuongeza maji kwenye chupa ili boss asigundue.
Mara kadhaa boss alihisi ladha tofauti anapokunywa wine hivyo kuhisi kuna mchezo...
Haya leo jioni saa kumi tukutane pale Break Point tuselebuke KIDUKU mpaka majogoo
Kama tulivyokubaliana jana jioni baada ya msuto wa Bishanga tulipokutana pale ukumbi Malaika kupoza makoo na...
Kuwa Mjanja kama Zitto
Kabwe, uwe mwepesi
kuchukua uamuzi kama
Deo Filikunjombe,
hakikisha una msimamo
kama Godbless Lema,
usisahau kuwa na
maamuzi mazito kama
Lowassa, na uwe unatii
maelekezo ya...
Wadau,
Ninaendesha kura ya maoni juu ya hali halisi ya bunge letu, kuna baadhi ya watu wanaonelea ni vyema wabunge wakazichapa bungeni, tafadhari tuwe SIRIAZ tupige kura huenda nidhamu itarudi...
How much do you drink a week?.
Monday - zip
Tuesday - zip
Wednesday - zip
Thursday - zip
Friday - 1 bottle of wine(750 ml)
Saturday - small bottle of Johnnie Walker or Ballantine (250 ml)
Sunday...