Kiboko Ya DungaDunga.

kaeso

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
551
96
Hii inafaa sana kwenye daladala zetu hasa za Mbagala...!!

599600_388659571198375_877048504_n.jpg
 
yani we acha 2,kuna wanume wengine haja zao wanamaliza ktk daladala wanawanata wakinadada ukiuliza unaambiwa km utaki kuguswa panda tax,umackini unachangia mmong'onyoko wa maadili.
 
Mbona mm jana mdada kanisuch zip yangu wakati tumesimama mlingoti ktk basi la kijijini? Tena akasinzia mwenye makosa nani?
Unajua na wenyewe dada zetu wanapima oil km vidume rijali
 
Acha masikhara....:A S 13:
 
Mbona hamuwaongelei wanaojilengesha kudungwa?
Na kila uchao wanaongezeka? Na wanaume tuanze kupata wapi hizo guards?
 
yani we acha 2,kuna wanume wengine haja zao wanamaliza ktk daladala wanawanata wakinadada ukiuliza unaambiwa km utaki kuguswa panda tax,umackini unachangia mmong'onyoko wa maadili.

Vidada vingine vinajilengesha vyenyewe, unakuta umesimama zako huna hili wala lile unashangaa kamejilengesha!! unasikilizia kabisa umewekwa kwenye ule mstari halafu si unajua visista duu vya siku hizi huwa havivai ch*p so unasikilizia bila chenga!!
 
Yaani acha tu, siku hizi upepo umebadilika, wadada ndio wanaojilengesha. Utashangaa tu umejaa kwenye kumi na nane na ukizubaa utaharibu hali ya hewa.
 
Back
Top Bottom