Mambo ya FEDHA ni noma...Aisee

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
Mke: Vipi bwana, mbona leo umerudi mapema tena kwa majonzi hivyo...??!

Mme: Wenzangu wa ofisini wote wamefariki kwa ajali ya moto.

Mke: Mungu wangu, we umeponaje?

Mme: Nilikuwa na tumbo la kuendesha, nilikuwa nimeenda choo cha ofisi ya jirani ndo mi nikaokoka na hiyo ajali.

Mke: Nazionea huruma familia za wenzako! Sasa wataishije?!

Mme: Nimesikia kuwa BIMA itailipakila familia ya marehemu millioni HAMSINI.

Mke: AAAAH...! UNAONA MAMBO YAKO YA KUHARISHA- HARISHA; UMEIKOSESHA FAMILIA YAKO MIL 50 HIVI HIVI TU...:A S-confused1:
 
jitoe muhanga watu wafurahi, safi sana hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom