Kama unaweza kubisha,ebu jaribu hapa..

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,974
1,400
Kuwa Mjanja kama Zitto
Kabwe, uwe mwepesi
kuchukua uamuzi kama
Deo Filikunjombe,
hakikisha una msimamo
kama Godbless Lema,
usisahau kuwa na
maamuzi mazito kama
Lowassa, na uwe unatii
maelekezo ya wakubwa
wako kama Pinda,
usipende mikwara kama
Wassira! Ukipenda
sometimes uwe na mizuka
kama Aggrey Mwanri
utauza sana kwenye TV!
Lakini Moto wako usipoe
kama Prof Tibaijuka,
usichelewe kutoa siri
kama Waziri Omar Nundu,
Penda kuwa na uhusiano
mzuri na wapinzani wako
kama alivyo JK, Simamia
haki bila kuogopa kama
Samuel Sitta, Mungu
akusaidie usiwe na damu
ya kunguni kama cheo cha
waziri wa Nishati, uwe na
mvuto kama Mwakyembe,
hakikisha Data zoote
unaweka kichwani kama
Magufuli ili watu
wakufagilie! mwisho
ukifurahi tumia lafudhi ya
Spika kusema Asaanteeee!
 
Kuwa Mjanja kama Zitto
Kabwe, uwe mwepesi
kuchukua uamuzi kama
Deo Filikunjombe,
hakikisha una msimamo
kama Godbless Lema,
usisahau kuwa na
maamuzi mazito kama
Lowassa, na uwe unatii
maelekezo ya wakubwa
wako kama Pinda,
usipende mikwara kama
Wassira! Ukipenda
sometimes uwe na mizuka
kama Aggrey Mwanri
utauza sana kwenye TV!
Lakini Moto wako usipoe
kama Prof Tibaijuka,
usichelewe kutoa siri
kama Waziri Omar Nundu,
Penda kuwa na uhusiano
mzuri na wapinzani wako
kama alivyo JK, Simamia
haki bila kuogopa kama
Samuel Sitta, Mungu
akusaidie usiwe na damu
ya kunguni kama cheo cha
waziri wa Nishati, uwe na
mvuto kama Mwakyembe,
hakikisha Data zoote
unaweka kichwani kama
Magufuli ili watu
wakufagilie! mwisho
ukifurahi tumia lafudhi ya
Spika kusema Asaanteeee!

mbona ka vile nipo chit chat?
 
duh mkuaa nimekukubali..mie sibishi kitu hapo hasa kwenye " uwe unatii maelekezo ya wakubwa wako kama Pinda"
 
Nimeipenda kupita maelezo. Endelea kuniletea vitu vizuri kama hivi angalau nisahau machungu ya bajeti ya magamba.
 
Back
Top Bottom