Si unaona leo silii... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Si unaona leo silii...

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Wilbert1974, Jun 22, 2012.

 1. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Jamaa na mkewe walikuwa wameenda ukweni kusalimia. Jamaa ana kawaida ya kulia wakati wa kujamiiana.
  Mme: Mke wangu vipi leo game usiku?
  Mke: Hakuna gemu leo, huoni hapa ni ugenini? Nawe una kawaida ya kulia kulia tena kwa sauti, tutaaibika bwana.
  Mme: Aaa mke wangu leo mi sita lia we nipe tu game utaamini.
  Mke: Ok. Kazi ni kwako... Ngoja tuone.

  Game likaanza kimya kimya.... Baadae mazunguzo yakaanza tena...

  Mme: (Mke wangu si unaona leo mimi silii) x3 Siliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiih iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiih hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii........
  HUKU SAUTI IKIONGEZEKA ZAIDI :lalala:

   
Loading...