Nani anakunywa wine yangu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anakunywa wine yangu?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mtanzanika, Jun 20, 2012.

 1. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,209
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Bakari ni house boy.mara nyingi huiba wine ya boss wake na kisha kuongeza maji kwenye chupa ili boss asigundue.
  Mara kadhaa boss alihisi ladha tofauti anapokunywa wine hivyo kuhisi kuna mchezo mchafu.alihisi tu Bakari anahusika.
  ilikua ni bahati tu alimvizia na kumbamba Bakari akichakachua wine,

  kwa kuwa mkewe alikua anamtetea Bakari,Ili kumthibitishia mkewe kuwa bakari ndo culprit, boss alianza kwa kumuuliza Bakari maswali,siku hiyo Bakari alikua jikoni,boss na mkewe walikua sebuleni.

  Boss:Bakariiii!
  Bakari:Naam baba!
  Boss:nani anakunywa wine yangu?
  Bakari kimyaaaa hajibu kitu!
  Boss:Bakariiiii!
  Bakari:naam baba!
  Boss:nauliza nani anakunywa wine yangu halafu anajazia majiii!
  Bakari kimyaaaaa!

  Boss akaamua amfuate hukohuko jikoni.'kwanini nikikuita unaitikia,nikikuuliza unanyamaza?
  Bakari:baba huku jikoni ndo kulivyo,unasikia jina tu likiitwa lakini maneno mengine husikii,na kama huamini baki jikoni mi niende sebuleni.
  Bakari akaenda sebuleni.

  Bakari:Babaa!
  Boss:naam bakari!
  Bakari:Saa sita usiku,hua unaenda kufanya nini chumba cha house girl?
  Boss kimyaaaa!
  Bakari:Baba babaa!
  Boss:ndio bakari!
  Bakari:Nauliza hivii,chumbani kwa house girl saa sita za usiku hua wafuata nini?
  Boss kimyaaaaaaa!

  Boss akatoka nje,'Bakari huku jikoni ni kweli husikii kitu dah!'

  Bakari:(kimoyo
  moyo)maaninaa!unanijua unanisikia!

  KILICHOFUATA HAPO UTAMALIZIA MWENYEWE.
   
 2. J

  Jrafiki Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Da,beka kammaliza bosi wake.
   
 3. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,209
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  yaani kaua mazima!!
   
 4. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Duh it was a crash
   
 5. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Aise hii imenifanya nicheke peke angu barabarani
  ikabidi nitoe cm nijifanye kama kuna m2 anichekesha kwenye cm.
   
 6. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,209
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  hope hukujikwaa!
   
 7. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hahahaha duh......
   
 8. princess enny

  princess enny JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1,042
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  duh hyo kali! Mbona bos lazma kigugumiz kimpate!
   
 9. N

  Ndensarie Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  Hiyo kali ubunifu wanguvu !
   
 10. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  ...Baada ya hapo mama akaanza kum maindi baba,baba akamwambia aende jikoni.Bakari akamwita:
  mamaaaa...
  Mama:abee bakari!!
  Bakari:baba anaposafiri,yule jirani yetu unayelala naye chumbani mnafanyaga nini?
  Mama kimya!
   
 11. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,209
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  dah ebana hilo pia lawezekana!hapo beka kaharibu ndoa vululuvululu!
   
Loading...