Naugua ugonjwa ufuatao nahitaji tiba mbadala haraka!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naugua ugonjwa ufuatao nahitaji tiba mbadala haraka!!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by stroke, Jun 21, 2012.

 1. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,357
  Likes Received: 6,539
  Trophy Points: 280
  Wana JF wenzangu...leo nimeamka naugua gonjwa hili baya la UDHAIFU, UFISADI, UBINAFSI, USHIRIKINA, UONGO,KUJIPENDEKEZA, WIZI, UTAPELI,MUUNGANO,KATIBA, UAMSHO, UKOSEFU WA AJIRA, MAJI, BARABARA, SHULE , HOSPITALI, MFUMUKO WA BEI na NYUMBA NDOGO NYINGI na mengine mengi sana, ugonjwa huu umetapakaa kama kansa katika sehemu zangu muhimu za mwili wangu ziitwazo Tanganyika na Zanzibar..nimejaribu tiba nyingi tu..kama vile DOZI ya vyama vingi vya siasa..nilianza na NCCR, ikapotea..ikaja CUF , imeolewa...ikaja CDM wameanza kutukana...jamani nifanye nini mimi..nahitaji tiba mbadala haraka iwezekanavyo..nisaidieni ndugu zanguni wana JF...kwa wale wenye nia njema na afya yangu..UDHAIFU UMENIKUMBA...
   
 2. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Wewe tayari ni DHAIFU.
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Unamatatizo ya kichwa
   
 4. m

  mangifera Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Njoo ufanyiwe maombi!!!
   
 5. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,309
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Andaa jeneza la kuzikiwa
   
 6. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tafuta mtu akubusti ili usonge mbele,na usiishi katika msongo wa mawazo yasiyo na tiba kwa papo hapo,tiba yake inataka mda kidogo
   
 7. R

  Rubesha Kipesha Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole mdau. Hapo mpaka upone labda uende India! mmmh kazi kwelikweli.
   
 8. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  kavae tshirt na kofia za WADHAIFU labda itapunguza maumivu
   
 9. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Nenda Loliondo kwa babu utakuta wadhaifu wenzako wameunga foleni wanasubiri ki-cup.
   
 10. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,506
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Muone Rais ama Nape aliishawahi kuugua hayo magonjwa atakupa dawa
   
 11. MTU POLI

  MTU POLI Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We ni wale kati ya WADHAIFU aliowasema mh. mmoja pale mjengoni.
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,492
  Trophy Points: 280
  kwa UDHAIFU huo lazima UTAKUFA.
   
 13. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,357
  Likes Received: 6,539
  Trophy Points: 280
  bado nasubiria tiba wadau..ina maana hakuna mwenye tiba ya ugonjwa wangu huo??
   
Loading...