Baada ya msuto wa Bishanga jana.....leo ni Kiduku kwa kwenda mbele

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
BEST.JPG.JPG

Haya leo jioni saa kumi tukutane pale Break Point tuselebuke KIDUKU mpaka majogoo
Kama tulivyokubaliana jana jioni baada ya msuto wa Bishanga tulipokutana pale ukumbi Malaika kupoza makoo na kuselebuka kidogo kama mnavyomuona hapo, Kipipi, TaiJike, mbalu, Cantalisia, Smile, gfsonwin, cacico, Preta, Aunt Lizzy alikuja mwishoni kabisa na Erotica wakiselebuka KIDUKU.

Leo ndio shughuli yenyewe..............

Dress Code, utakavyopenda.
Asprin una mtindo wa kuja kutuchungulia makalio, nakwambie leo ukitia timu tunakusuta kama mwenzio
 
Last edited by a moderator:
Msuto wa jana TaiJike na mkoba wake, yaani jana kulinoga kweli.
Nitakuwa nikiwadondoshea picha kama zilivyopigwa na allen
r.jpg
 
Last edited by a moderator:
BEST.JPG.JPG

Haya leo jioni saa kumi tukutane pale Break Point tuselebuke KIDUKU mpaka majogoo
Kama tulivyokubaliana jana jioni baada ya msuto wa Bishanga tulipokutana pale ukumbi Malaika kupoza makoo na kuselebuka kidogo kama mnavyomuona hapo, Kipipi, TaiJike, mbalu, Cantalisia, Smile, gfsonwin, cacico, Preta, Aunt Lizzy alikuja mwishoni kabisa na Erotica wakiselebuka KIDUKU.

Leo ndio shughuli yenyewe..............

Dress Code, utakavyopenda.
Asprin una mtindo wa kuja kutuchungulia makalio, nakwambie leo ukitia timu tunakusuta kama mwenzio

Wala usiwe na shaka bibie Zinduna, ila mtanikuta na vijana na wazee wenzangu Bishanga, Erickb52, Judgement, Kimbweka, Kaizer na ndetichia tunawasubiri kwa hamu kuangalia kiduku. Vigezo na masharti kuzingatiwa

attachment
 
BEST.JPG.JPG

Haya leo jioni saa kumi tukutane pale Break Point tuselebuke KIDUKU mpaka majogoo
Kama tulivyokubaliana jana jioni baada ya msuto wa Bishanga tulipokutana pale ukumbi Malaika kupoza makoo na kuselebuka kidogo kama mnavyomuona hapo, Kipipi, TaiJike, mbalu, Cantalisia, Smile, gfsonwin, cacico, Preta, Aunt Lizzy alikuja mwishoni kabisa na Erotica wakiselebuka KIDUKU.

Leo ndio shughuli yenyewe..............

Dress Code, utakavyopenda.
Asprin una mtindo wa kuja kutuchungulia makalio, nakwambie leo ukitia timu tunakusuta kama mwenzio
Zinduna Na mimi naalikwa?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kongosho na BADILI TABIA walipewa mlungula na Bishanga ili waharibu msuto lakini wakakwama, sasa wanakuja na vijineno ili kukwamisha KIDUKU, lakini washashindwa hao
Hawatuwezi hili goma la Mchuchumio mamake
goma la mchuchumio, mwendo wa kusimamia vidole kama unashuka kitonga vile, chezeiya Zinduna weye! ni kama kutaka kuhamia MARS wakati bado umepanga kwa mtogole! heheheiya yangu macho, nipo nimeshafika brake point na thermos yangu kabisa ya uji wa kungu nautia kasi, raha ya kiduku na jicho liwe lege! ebo!
 
cacico - We mwana we mbona wantia Puresha, Break Point saa hii, ngoja na mie nianze kujipaka PIKO
 
Zinduna huwa sipendi kuchelewa kunako mambo haya! jana nilivyopaka zazuu na yomboo kwenye mdundiko wa Bishanga, mpaka leo bado nipo ng'aring'ari! nijifukiza udi tu, naona wantosha mie! nakubakizia kungu, tena la comoro hili, linalevya mbaya, nusu kikombe tu, cheusi cha jicho kiko juu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom