JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimepita bar moja huku mtaani kwetu na nikaziona bia bingwa. Nimekumbuka kipindi zinaingia namna zilivyowaumiza watu. Mdogo wangu alizimia siku 2 baada ya kuzifakamia za bure kwenye sherehe. Sijui...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Humu wapo members Wana likes 1000 ambazo kiuhalisia zingekuwa pesa zingeweza kununulia vocha ya buku. Wengine wana likes mpaka milioni 1 huko ambazo zingeweza kununulia smartphone kali. Mimi...
5 Reactions
25 Replies
797 Views
Kwanini Wanaonunuliwa Vyakula au Vinywaji Mahotelini na Mighahawani ndiyo huwa Waongeaji wa Kupitiliza kuliko wale ambao ndiyo Wamewanunulia? Kwani wameambiwa kuwa wakinyamaza na Kula au Kunywa...
2 Reactions
4 Replies
399 Views
Kwanini kabla ya kufanya maamuzi ya jambo fulani najikuta tu nakosa amani?
2 Reactions
4 Replies
572 Views
Kaka yangu Tate Mkuu, shida ni nini? Dada zako ni mnyoosho wa suruali kwa kwenda mbele. Sijawahi kuona mrembo wa kisambaa mwenye wowowo. Ni flat screen ileile. Nimemuacha mmoja mwaka mmoja nyuma...
9 Reactions
72 Replies
5K Views
Siasa Ndo Taaluma Pekee Ambayo Hata Ukiwa Mwizi, Ukiwa Muongo Bado Utaitwa Muheshimiwa, Unaendelea Kuheshimika.
1 Reactions
2 Replies
383 Views
Sio tu kuwa kila mtu anapenda kusifiwa bali kila mtu anapenda kujisifu. Hatuoni wazee wetu wakijisifu kuwa walikuwa na akili sana darasani wakati wanasoma. Kiongozi anaposimama jukwaani katu...
4 Reactions
16 Replies
622 Views
Wadau hamjamboni nyote? Naandika na kuuliza haya siyo nakashfu ila ndiyo ukweli unaonishangaza sana Ni nadra sana kuona mtu mzima au mtoto maeneo ya Masaki, Oysterbay au Mikocheni akiingiza...
3 Reactions
3 Replies
398 Views
Kwa mfano kunywa maji ya baridi kwenye glass ina letaga stimu fulani hata maji yanateremka gently na smoothly zaidi ya kunywea Chupa.
5 Reactions
20 Replies
669 Views
Watatu walikamatwa na wachuna ngozi. Wakaambiwa kuwa watauliwa kisha watachunwa ngozi na ngozi zitaenda kuuzwa Nigeria. Wale wachuna ngozi wakawaambia kila mmoja anapewa nafasi ya kuomba jambo...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
24 Reactions
2K Replies
44K Views
Mapenzi yangu ya muda mrefu zaidi yalidumu mwaka 1 tu.
0 Reactions
5 Replies
353 Views
(1)Mhudumu wa gest (2)Daktari (3)Boda boda (Bodigadi) (4)Mganga wa kienyeji (5)Mtunza siri za bosi (6)Baharia (7)Rais NB:Orodha ni ndefu sana unaweza ongezea kadri uwezavyo,ila hii dunia kuna watu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Tukiwa hapa Mlimani City Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemtaja Mkurugenzi Mkuu wa Jamii forum Maxence Melo na Mtandao mzima wa Jamii forum katka majumuisho yake kuhusu uandishi wa mitandaoni...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Ebana wanajamvi inakuwaje? Sina maneno mengi. Though she's taken, she is my dream woman. Secret admirer!
7 Reactions
26 Replies
1K Views
Kama kungekuwa na simu mbinguni ungempigia nani kumsalimia .? If there's a phone in heaven , I could be in touch with my Grand-father ili kumjulisha kuwa yale mashamba yake makubwa tumeyauza na...
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Nina ka mia tano hapa mfuko wa shati :D, natafuta pisi inayojitambua tukaitumie jioni ya leo. Matumizi yatakuwa kama ifuatavyo:- Chakula.........100,000/= Vinywaji.........200,000/=...
14 Reactions
223 Replies
5K Views
Back
Top Bottom