Hivi kuvuta bangi Kuna madhara Gani?

kevin strootman

JF-Expert Member
Nov 26, 2017
1,069
1,716
Inakuaje bangi inawekwa kundi la madawa ya kulevya?

Mbona Kuna Wana wanavuta sana ganja lakini wapo poa sana na wanafanya kazi zao vizuri tuu.

Kitu kama shisha ndio naskia ina madhara mengi sana, yupo jamaa mmoja aliniambia bangi ni dawa .

Je inamadhara Gani??

Natamani nianze kuvuta bangi ila sijui nazipata vipi nikipata mtu WA kuniuzia itakua poa sana nipo Toangoma hapa
 
Humu jukwaaani pusha wetu ni mmoja tu, naye ni Maghayo ..
Mcheki ana kitu standard.
On a serious note , bangi itakubangua pale tu utakapokula makushabu ya kiwaki.
Lazma upate indoor high grade ambazo utachagua either sativa au indica depending on your preference.
Na kuivuta pia kuna utaratibu wake sio unapuliza tu kama unachochea jiko la kuni.
 
Je inamadhara Gani??
Screenshot_20230309-173047_Instagram.jpg

Certified herbal
 
Humu jukwaaani pusha wetu ni mmoja tu, naye ni Maghayo ..
Mcheki ana kitu standard.
On a serious note , bangi itakubangua pale tu utakapokula makushabu ya kiwaki.
Lazma upate indoor high grade ambazo utachagua either sativa au indica depending on your preference.
Na kuivuta pia kuna utaratibu wake sio unapuliza tu kama unachochea jiko la kuni.
kuna siku was3ng waliniuzia makushabu dah nilihisi kuwehuka ile siku siisahau nfo nkaelewa kwann mtu ankua chizi kwa ajili ya yale madude
 
Hahaha a day never passes without inhaling countless puffs. Bangi na Sigara ndo zinanimaliziaga pesa. Siku nikija kupunguza (kamwe siwezi kuacha). Nitasave sana.

Legalise it.

adriz Mufti kuku The Infinity
 
kuna siku was3ng waliniuzia makushabu dah nilihisi kuwehuka ile siku siisahau nfo nkaelewa kwann mtu ankua chizi kwa ajili ya yale madude
Hakikisha inatoa inta wakati wa kuvuta hiyo ndio mjani OG.

Moshi wake unakuwa mzito na hutakiwi kuvuta sehemu Za kerere mana kama Ni kwenye mziki unaweza kumwambia DJ azime mziki mana kuna vitu vyako muhimu unavifikiria 😂😂😂

Achana na ile kitu kabisa Ina maswali fikirishi sana Na kila jibu unalojipa bado litaleta swali.

Na jibu kamili likija basic ndio Hilo hilo.
 
Kitu kizuri kwenye bangi haina addiction ila chunga sana usitumie bangi pamoja na vitu vingine kama pombe na sigara kama unaona ni mtumiaji wa hivyo vitu basi acha usitumie bangi kabisa.

Pia Chunga sana hizi bangi zinazouzwa mtaani kutokana na kuwa bangi ni illegal hapa kwetu tunakosa vyombo vya kusimamia ubora wa bangi kuanzia shambani mpaka kumfikia mtumiaji kitu kinachopelekea watu wengi kuvutishwa uchafu ambao ni hatari sana kwa afya ya akili nyingine wanachanganya na petrol/diesel ili kuongeza ukali, hivyo umakini ni muhimu ukishindwa bora usitumie kabisa.
 
Humu jukwaaani pusha wetu ni mmoja tu, naye ni Maghayo ..
Mcheki ana kitu standard.
On a serious note , bangi itakubangua pale tu utakapokula makushabu ya kiwaki.
Lazma upate indoor high grade ambazo utachagua either sativa au indica depending on your preference.
Na kuivuta pia kuna utaratibu wake sio unapuliza tu kama unachochea jiko la kuni.
Wewe lazima ni chalii ya Ar.Hakuna msoro anajua kushabu ya kiwaki!!!
 
Inakuaje bangi inawekwa kundi la madawa ya kulevya?

Mbona Kuna Wana wanavuta sana ganja lakini wapo poa sana na wanafanya kazi zao vizuri tuu.

Kitu kama shisha ndio naskia ina madhara mengi sana, yupo jamaa mmoja aliniambia bangi ni dawa .

Je inamadhara Gani??

Natamani nianze kuvuta bangi ila sijui nazipata vipi nikipata mtu WA kuniuzia itakua poa sana nipo Toangoma hapa
Jitahidi sana uitafute uipate na uivute ili ujue matokeo yake practically na sio kusimuliwa tu. Wakati mwingine unaweza kuambiwa uongo na ukakubali kumbe sio!
 
Humu jukwaaani pusha wetu ni mmoja tu, naye ni Maghayo ..
Mcheki ana kitu standard.
On a serious note , bangi itakubangua pale tu utakapokula makushabu ya kiwaki.
Lazma upate indoor high grade ambazo utachagua either sativa au indica depending on your preference.
Na kuivuta pia kuna utaratibu wake sio unapuliza tu kama unachochea jiko la kuni.
Duh naitamani sana
 
Kwa nini unataka uanze kuvuta bangi??!! Mimi binafsi huwa navuta kwa recreational purposes na sijawahi kupata madhara yoyote, sometimes pia huwa naitumia endapo naona kichwa kina mambo mengi huwa inanisaidia kupanga mafaili vizuri kichwani
Namimi ndio nataka hvyo, Yani kama weekend hivi watu wanavyoenda bar, Mimi navuta Bangi, au nikiwa na kitu cha kutafakari Kwa kina, sio kwamba navuta vuta tuu kilasiku au Kila saa kama sigara, hapana
 
Back
Top Bottom