Wana Chit Chat,
Ishu hii ingekukuta wewe ungefanyaje? Iikilize vizuri hii kitu
Samahani kwa usumbufu kwa wale ambao hawakuona linki. Nimeirekeisha hii hapa chini...
Jamaa mmoja alikuwa ameshikwa na tumbo la kuhara, basi kwa bahati nzuri aliona uchochoro hivyo aliamua kwenda kujistahi, kufika pale akakuta kibao kimeandikwa 'marufuku kukojoa hapa'. Jamaa...
Katika Jumapili moja,kuna sharobaro mmoja alienda na demu wake kanisani...ukafika muda wa kutoa sadaka mara yule sharobaro akamzuia demu wake asitoe sadaka huku akimwambia ''don worry baby i will...
Mzee mmoja alikwenda mjini kumtembelea mtoto wake, baada ya kufika jioni kikaandaliwa chakula mzee alikula sana ghafla akasikia mama anamwambia Juma"hebu mletee babu yako tishu"mzee kusikia...
Leo ni jumamoc ck ambayo mama kulwa hataisahau maishan baada ya kumfma mmewe kitandani na dada yake wa damu(wifi yake) wakila MARAHA. . . . Baada ya kuona hvy mama kulwa aliishia kusema. ."Mme...
Bwana Karabi alifunga ndoa na Bi. Kezia , hivi majuzi .
Katika hali isiyo ya kawaida wanandoa hao jana wameamua kuachana.
Pakalazimika kuitishwa kikao miongoni mwa wanafamilia toka pande zao...
Tabia gani hiyo ya kuhonga honga mwanaume asifiwi kwa kuhonga anasifiwa kwa uwajibikaji katika family Asprin Njoo umfunde mwenzio sijamtia machoni toka Idd
Nimekumbwa na matatizo mengi ya ujana mpaka nikapata msongo wa mawazo kiasi cha kutaka kuji RIP. Nahitaji mtu wa kuongea naye anitoe katika hali hii, la sivyo mtanipoteza humu JF for good. nyumba...
Nakuwaza sana mlimbwende, hayapatikani majibu
Ni kwanini usinipende,sipati sababu
kukupenda wewe katu sitakoma,CL unanipagawisha
Nimejaribu kukuforget,ndio kwanza nakuwaza
Ingawaje kanishauli...
Ni swali ambalo wengi wetu tumelitumia/tunaendelea kulitumia tunapokuwa tunataka kuanzisha mahusiano.
Hebu kwa mtazamo wako na uzoefu wako itolee maelezo hii picha
Je kweli wajua wakti wako haswa wa kulala au wajua wakit wako haswa wa kpanda kitandan. . . . ?
Mana kna w2 hsema "mi nalala sa 4" Je kwl huwa kalala ucngz
Binti: Mama nina mimba...
Mama: Shenzi kabisa!, haya imekuwaje na tokea lini?
Binti: Bahati mbaya , ni ajali tu mama.
Mama: Pumbafu zako,unataka kusema ulikuwa unatembea tu barabarani ndo...
Unapotaka kutafsiri namba yako ya simu tumia tarakimu nne za mwisho kwani hizi ndizo namba pekee ambazo ni tafauti na za watu wengine katika mtandao mmoja.
Jumlisha tarakimu hizo nne hadi ufikie...
Leo nimemtembelea kifungon zubedayo akiwa kifungon angependa kusikia Sauti ya Mahabuba wake na wanachit chat wote, line tajwa hapo juu itakuwa Wazi kuanzia saa Tatu kamili asubuh hii,atapokea simu...
Ndugu zanguni penye wengi pana mengi, naamini hili ndiyo maana nimekuja kwenu kuomba msaada:
Naomba kujua supermarket yeyote kubwa iliyopo hapa Dar es salaam na eneo ambayo hiyo supermarket ipo...