Haya jamani mjionee mambo!!
MTU mmoja alifariki na kwenda jehanamu. Kufika huko akakuta kuna jehanamu tofauti tofauti kwa kila nchi. Akaamua kuzunguka zunguka ili aweze kuipata jehanamu yenye...
Ni msanii gani au mtu maarufu gani unampenda na kumchukia na kama unampenda elezea kwann na kama unamchukia pia toa sababu za wew kumchukia
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
"THIS IS VERY INTERESTING STORY OF MY LIFE"
......baada ya kulog in facebook inbox yangu ilikua inaonyesha kwamba una msg 2 moja ilikua inatoka kwa mdogo wangu akiwa ananijulia hali, msg ya pili...
Kuna bwana mmoja alikuwa kalala na mkewe mara mke akawa
anaota kwa sauti jifeche jifiche mumewangu anakuja. mumeakakurupuka
na kuruka akatokea dilishani akiwa na nguo ya ndani (ch#p) akiwa nje...
Night shift... just waiting for something to happen but nothing does...
usingizi unaninyemelea, nimeamua kuingia JF mara moja nichemshe Bongo
Leo nimefikiria sana. it doesnt happen often, so read...
Mwanzoni mwa miaka ya1980
timu ya Nchini Kenya ilikuwa na
Mchezaji wa Taifa anaeitwa
OTIENO MBO*, Siku moja akawa
Majeruhi, Kesho yake Magazeti
yote KENYA yakaandika "WAKENYA
KUCHEZA BILA...
This is how the human brain often works when our status changes. Very few remember what life was like before, and who was always by their side in the most painful situations.
* Life Is a Gift...
Wanandoa waliodumu zaidi ya miaka 20 wamebainika kuwa na ugonjwa wa Kisukari, utafiti unaonesha waliugua kwasababu ya majina wanayojiita kama; my Honey, my Sweet, my Hot Chocolate nk. Plz mkinge...
Mke wa mtu akisoma sms kutoka kwa mpenzi wake
alijikuta akitkwa na machozi baada ya mpenzi wake
kumwambia mapenzi yao yamefika kikomo, Mumewe
akamuuliza nani alie kutumia sms?
Mke: Dada.
Mume...
Hahahahaha is it jealousy or Clever from husband?
Husband: Why did U give so much money to the beggar who was pretending to be blind?
Wife: Didn't you hear his good words to me?
Husband: No...
Kuna bwana mmoja alimuaga mkewe kuwa anasafiri kikazi
atakua huko kwa siku 3. Wakati anatoka mkewe akamfuata
na kumpatia salama cond... mume alipouliza kwanini amempa
salama mke akajibu kuwa...
Baba:Niletee soda
Mtoto:Coke au Sprite?
Baba:Coke
Mtoto:Kubwa au ndogo?
Baba:Kubwa
Mtoto:Baridi au warm? Baba:Baridi
Mtoto:Nikuleteeglass au utatumia
straw?
Baba:Leta glass
Mtoto:Glass...