Je Ni Maandamano ya namna gani yakitokea lazima utajumuika??

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,468
4,239
Mimi binafsi lazima ntaingia mtaani kuandamana iwapo serikali itaendelea na wazo lake la fao la mifuko ya hifadhi ya jamii kutotoa mpaka nifike miaka 55 wakati mm mwenyewe sina mpango huo??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kufanya maandamano yasiyo ya AMANI (pia pasipo kibali) si njia stahili ya kupata haki.
 
siku ya kuishinikiza serikali kumuachia na kumfutia mashitaka sheikh ponda ndo naweza kuandamana
 
Watu watakapo taka mimi niandamane ndipo nitakapo andamana la sivyo nina kaz nyingi za kufanya
 
Dah na kazi zote,shida zote hizi am not in line for maandamano of any kind

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mimi binafsi lazima ntaingia mtaani kuandamana iwapo serikali itaendelea na wazo lake la fao la mifuko ya hifadhi ya jamii kutotoa mpaka nifike miaka 55 wakati mm mwenyewe sina mpango huo??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Nikisikia Tanzania imeuzwa na risiti ikaonyeshwa.
 
Mimi binafsi lazima ntaingia mtaani kuandamana iwapo serikali itaendelea na wazo lake la fao la mifuko ya hifadhi ya jamii kutotoa mpaka nifike miaka 55 wakati mm mwenyewe sina mpango huo??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

ya kutembea uchi
 
Back
Top Bottom