Tunanyoa chini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunanyoa chini!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by God knows, Oct 29, 2012.

 1. God knows

  God knows JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Kinyozi mmoja alikuwa ananyoa kwenye Saloon yake iliyokuwa floor ya 1 kwenye jengo husika. Baada ya muda akahama na kwenda ground floor. Kufuatia kuhama kwake akaamua kubandika tangazo kule alipokuwepo zamani kwamba:

  Tunanyoa chini!

   
 2. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Swali: Kufuatana na utafiti wako alipata wateja wengi zaidi kuliko mwanzo au vipi?
   
 3. kalukamise

  kalukamise JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 688
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Nilipata habari za hiyo saloon sometimes back, baada ya kubandika lile tangazo akapita babu mmoja mvuvi kavaa msuli,
  kuona vile akaingia ndani na kubenyua msuli wake yule baniani akamnyoa kwa sh. 500. babu aliporudi nyumbani akamsimulia mkewe kwamba sasa ike kazi ya kunyoana imekwisha mie nimenyoa kwa baniani kwa sh. 500.
  Siku ya siku bibi naye akaenda kunyolewa baniani alipomaliza kumnyoa akadai ujira wake ...hapo ndipo timbwili likaanza
  bibi ana sh.500 baniani anadai sh.1000. Alipoulizwa kwa nini babu kamnyoa kwa 500 na bibi 100 akajibu in short kwanba
  babu ana kishikio kwa hiyo kinarahisisha kazi. kesho yake saloon ikafungwa
   
 4. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  hahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaa...
   
 5. k

  kigoda JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 1,784
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hahahahaaaa! Teheteheteheee! Nimeipenda hiyo. Usafi wa kiunga muhimu jamani.
   
 6. k

  kigoda JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 1,784
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Alipata wateja wengi alipo andika TUNANYOA NYUMA.
   
 7. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 19,186
  Likes Received: 2,883
  Trophy Points: 280
  Duh matangazo mengine bhana!
   
 8. kalukamise

  kalukamise JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 688
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Baadaye
   
 9. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,452
  Likes Received: 4,736
  Trophy Points: 280
  Nahamisha kidogo kunradhi, mkimbizi mmoja akiwa mjini Kahama alipatwa na tatizo akaelekezwa aende ofisi ya mkuu wa wilaya na kuambiwa atakuta bango alipokuta bango MKUU WA WILAYA KAHAMA akajiondokea zake kwa kudhani mkuu wa wilaya amehama na kuanza kuuliza alikohamia mkuu wa wilaya
   
 10. bothlegs

  bothlegs Member

  #10
  Nov 2, 2012
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Kuna Muarabu mmoja alifungwa jela.Baada ya kutoka kifungoni mav**i mengi yalikuwa yameota kuzunga katika ile njia ya mtambo wa koni. Kutokana na ule msitu kuwa mwingi akamua kutafuta kikoo kisha akavua suruali yake na kukiweka hicho kioo chini ili apate urahisi wa kujinyoa yale mav**i.Wakati anaendelea kujinyoa ghafla uume wake ukasimama (akadisa).Muarabu kuona vile alisema bona natamani dugu yako.Kisha akaukata uume wake.
   
Loading...