Hawa sikuwaacha Chit Chart kabisa, wamekuja lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa sikuwaacha Chit Chart kabisa, wamekuja lini?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Zinduna, Oct 30, 2012.

 1. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Mwe, mwenzenu mie sikuwapo mahala hapa kwa miezi kadhaa, leo kuingia tu humu Chirt Chat nakutana na watu wapya kibaao, hata siwafahamu mie, basi kama isingekuwa kumuona Bishanga, wallaahi ningedhani nimepotea jukwaa...

  1. lara 1, huyu sijui Mchaga maana nimepitia posti zake apenda hela huyoooo

  2. snowhite, huyu sijui binti au jimama la makamo, nimesoma posti zake lakini naona 50/50

  3. Ciello, haka kanaonekana mapepe kaa nini, nimekaona kanavyogonganisha magari Mtambuzi na manoah

  4. Natalia huyu khaa! Apenda sifa huyo, kumbe kwao uswazi tu mitaa ya Tandale Popo Bawa kazi kujikweza tu humu.

  5. charminglady huyu sina hakika kama nilimwacha huyu, lakini labda alikuwa huko kwenye majukwa ya wakuda, hakuw ahapa huyu

  6. wakati ndio sasa huyu njuka kabisa huyu, karibu chit chart, naamini umeshapazoea mahali hapa

  7. Asulo, huyu naye huyu kuku mgeni tu huyu, bado anayo kamba mguuni

  8. Arabela, huyu naye huyu, bado ana tongotongo usoni karibu sana shosti, nilikuwa sipo, sas nimerejea

  9. pretty n, huyu ni mutu ya R Chuga kwa akina Erickb52, karibu be dada

  10. nivea, huyu nahisi nilimwacha ndo kuku mgeni alikuw ahajaanza kuchangamka..

  11. Arushaone, huyu naye chalii yangu, wa R Chuga, kule anajuliakana kwa jina la Nyoka Mzee, karibu kaka mkubwa

  12. Madame B, shostito, pole na msiba, nasikitika sikuweza kukutumia salaam za rambirambi mapema, karibu sana kijiweni, nasikia wanakuita pacha wangu, bado nafuatilia posti zako ili kujiridhisha kama una uwezo unaofanana na wa kwangu

  Haya wote nilowataja na wale nisiowataja karibuni sana Jamvini kwa taarifa yenu miimi ndio kiboko ya wanaume humu Jamvini, niliwakimbiza kule Jukwaa la Wakubwa mwana ukome, hawana hamu na mimi, wakiona avatar yangu vibamia vyao vinasinyaa kama tembele la mwanakwerekwe..

  Ndimi Zinduna
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Ngoja nende zangu masjidi kwanza, nitarejea baadae.
  Niwape salaam za Visiwa vya Ngazija,
   
 3. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  Dogo Zinduna ulikuwa una'resit paper za form IV umemaliza naona upo freshiiii... Vipi nasikia unaenda kusoma tourism n tour guiding kwenye vyuo vya kariakoo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. W

  Wajad JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,125
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 180
  Karibu tena! Usiwe unapoteaga namna hiyo basi. Ila hayo majigambo yako dhidi ya wanaume ni kwa sababu hujampata wa kukudhibiti. Chezea wana uume wee!
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,704
  Likes Received: 12,755
  Trophy Points: 280
  Zinduna talk show!
   
 7. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  chit chat bana!!raha tu
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,704
  Likes Received: 12,755
  Trophy Points: 280
  Zinduna huyo Natalia hawezi kuishi kwa mtogole yeye kwake ni Miami beach!
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hata kwa mtogole kuna miami beach gesti hausi, chumba buku 3 pungufu unaongea kama unakuja na mashuka na nanihii zikibaki unaacha. Inawezekana Natalia mamake ndo.anamiliki hii biashara.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mi napita tu kwanza , naenda kunyoa.
  Nikimaliza manyozi ntarejea manaake mmhh !
   
 11. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Ahsante shosti zinduna
   
 12. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  we Zinduna wewe, me katu sio mgeni. nilikuwepo sana kwenye show zako nyingi tu. sema nilikuwa naingia kimachale sana.
  haya show inaanza lini na wamuanzia nani?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160

  Zinduna ,!!!!!!??? mama ya matarumbeta,kiboko ya mavuvuzela!!!!!!!! uliyemsuta Katavi hadi akazimia!!!!?, ulipotelea wapi!???? na wewe ulidungwa ya mapacha kama Erotica!!!!!? karibu mama, kuna watu walijitawala humu. very near very near(karibu sana). nitafute kesho nikupe story zote aiseee. ila kuna shindano la miss chit chat mchague Arabela, don't ask me why!!!!!!!!!?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Bora mie sijatajwa!!!Ila ndio hivyo niko ndani ya nyumba!!!
   
 15. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Jiangalie na hicho kidume, kama umemuingilia Zinduna mi siamulii,,, ugomvi wake mayai viza, namjua
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaa ukiona hivyo ujue we mkongwe
   
 18. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Zinduna niko naandaa show na tutafungua kwa music na Mtamboni mtakuwa na DJ Erickb52 kwa ngoma za ukweeeee mbaya nadhani wazee wa Chuga wanazitambua!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  ulifichwa na nani?
   
 20. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,360
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Mzee mwenzangu Judgement waenda 'nyoa' wapi? Ukimalizamo 'kunyoa' pelekamo na kichwa kwa KINYOZI AKUNYOE NA NDEVU.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...