Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
Hebu makinika nami mchana huu .
Namuongelea Samaki .
Samaki kama ilivyo ada , maeneo tajwa hapo juu ndivyo yalivyogawanyika aidha katika tumlavyo kila mtu ana maeneo shoboko , namna apendavyo.
Mie nashobokea utamu wa Samaki Kiuno.
Mwenzangu utamu wako Samakini uko wapi?
Labda naweza shawishika nami nikahamia utamuni mwako!
Wapenda :
BICHWA
KIA au
UNO ?
Please share with me .