Siyo ile ya kujifunika mashuka mawili-mawili, mpaka sie wachafu tukapata sababu ya kukwepa kuoga.
Hili jua ni nowmer, ukiweka nyama chumbani kwangu ukirudi unakuta mishkaki.
Wageni karibuni Dar...
Teacher to a student: "Can you think of a solution to end unemployment?"
"Yes, sir! I'd put all the men on one island and the women on another."
"And what would they be doing then?"
"Building...
panya wa kwanza.
mimi sikamatwi na mtego wowote kwani nimegundua binadamu ana akili ukipita kwa mbele lazma ukamatwe mimi napitia nyuma ya mtego na baada ya kutegua ndipo nakula chambo.
wa pili...
Kwa vile serikali inataka kuwawekea kodi mpaka wale wenye biashara ndogondogo, basi inawabidi pia watoze kodi wezi, majambazi na vidokozi maana wanajipatia kipata kutokana na kazi zao. Labda hili...
Baada ya kukaa humu jukwaani kwa muda wa kutosha, sasa nimeamua rasmi kuomba kujiunga na hii familia ya wana chit-chat, sababu kubwa ikiwa ni kuchoshwa na siasa na mambo mengine mengu tu.
Hodi...
Kijana mmoja baada ya kutajirika akamwambia baba yake, Baba sema nikulipe nini ili tusijuane tena! Baba akamjibu "Nipe mkeo nimnyonye maziwa kama wewe ulivyomnyonya mke wangu" Kama ni mwanao...
Wadau nafurahi sna kujiunga hii leo katika jukwaa hili lenye fikra chanya za vijana na watu wa rika mbalimbali wenye mawazo thabiti kabisa...........:happy::happy:
dah,nilikuwa na wasiwasi sana maana nilidhani wewe ndio muhanga wa leo uliyenasana huko Temeke mkifanya majambozi,hadi nilipoona una-comment humu JF nikajua umesalimika.
Kichwa cha habari chahusika.
UTANGULIZI
Miezi kadhaa iliyopita nilileta kwenu wanajamvi kamati mbalimbali zilizokuwa zikishughulikia masuala ya ndoa na mahusiano hapa chit-chat lengo likiwa ni...
Wadau huwa napata a very strong feelings ninapokutana na mtu niliyesoma nae shule ya msingi...hasa darasa moja,ninakuwa na atitude tofauti kuhusu mtu huyu....Ni nini hichi wadau? kwa mfano ukienda...