Luv is a gamble, Sex is a game
Boys do the f***ing, girls get the blame
One nite of pleasure, nine months of pain
One day in hospital, n junior needs a name
Mwaka ndio hivyoo unaisha na mimi wakati nipo A-town nilishindwa kukutana na wenzangu kutokana na sababu zilizokua njee ya uwezo wangu. Lakini juzi niliona wivu baada ya kuona siredi ya wana wa...
Wasalaam. Nawakaribisha sana kwenye birthday yangu leo saa 2 usiku kwenye ukumbi wa Vatican- Sinza. Kuna vyakula vya kutosha kama kitimoto pamoja na vinywaji kama bia, gongo, viroba, nk. Mademu...
Kila mtu alishawahi kujamba....unajiskiaje ukijamba? raha eeh? unazijua aina za vijambo?
Hamisiii...hiki kina mlio mwembambaaa sauti ya kwanza mara nyingi ni cha kulazimisha hivi ukizubaa...
Baada ya kuahidi kukaa mbali na mali za watu, hatimaye nimeamua kumsamehe dogo Arushaone na kumruhusu kurudi ndani ya mjengo wa JeiEfu.
Karibu tena dogo ila kaa mbali na mali za watu.
Kiingereza ni janga la kimataifa sio tu kwa Wetu sie wabantu, hata wathungu wenyewe. Hebu sikiliza huyu Mjerumani"OETTINGER REDE":
Kumbe Mulugo alijitahidi.
Samahani kama taarifa imerudiwa.
ila napenda kuwataarifu kwa wale tuliokuwa tunaisubiria hii season, jamaa wameanza kuirusha tena. enjoy. for torrent download tembelea hapa Download Nikita...
Ninayo furaha nyingi kukuandikia thread hii ya kukupongeza na kukupa pole Emerald wangu Erotica kwa kujifungua salama mapacha wa kike Trophina na Triphonia wiki ya mwanzo ya mwezi uliopita...
His mother or wife?
Mother: my son must obey me unless he did nt suck my breast for 1 yr
Wife: he sucks mine now &sucked it for more than 5yrs and is still sucking
Mother: i carried him for 9...
Weraaaa weraaaa.....la mgambo limelia.....asiye na mwana abebe jiwe......
mmmmmh.....ni ule wakati mwingine tena wa mwisho wa mwaka......JF HQ .a.k.a watalii...a.k.a wazee wa kula bata.....a.k.a...
Hi wadau wa Moro ,mzee wa Tandahimba ameingia baada ya kuishi Tanga kwa almost 10 months na kuishia kucheza mdumange na baikoko sasa nimekuja Moro nipokeeni na mnijuze life liko vipi kikubwa zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.