Kuna Mpenzi Wa Scrabble Humu!?

Kuna Mpenzi Wa Scrabble Humu!?

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,946
Reaction score
5,382
Anayejua anipm. Atleast tuchangamshe akili mara 1 kwa week ikiwezekana.. Niko Dar!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
huo mchezo nawapelekeshaga DIMA home mbayaaa, Hebu njoo huku ZNZ nikutoe knock out
 
Hahaha! nawataka sana watu kama nyie.. Ngoja niwashe kipando changu uko wapi? Daraja bovu amani kwerekwe kikwajuni meli 4 bububu chukwani kwa kira jumbi au?? Hahaha

Back
Top Bottom