Wajinga ndio waliwao

Wajinga ndio waliwao

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,004
Reaction score
168,576
Baada ya kulala wiki nzima nyumbani kwa kuugua malaria hatimae jamaa alirudi kazini;

BOSI: Unajisikiaje sasa?

JAMAA: Bosi najisikia fresh, japokuwa kuugua kwangu kumenipa furaha na faraja sana

BOSI: Umefurahi kuugua?

JAMAA: Mke wangu kanifurahisha sana, maana nilipokuwa home mwanaume yoyote akigonga mlango mke wangu alikuwa akitangaza kwa nguvu, Mume wangu yupo, mume wangu yupo, hii ilionyesha anavyonipenda na haoni aibu kutangazia ulimwengu kuwa mimi ni mumewe
 
So far wasimbe, waseja na mabachela ni "waliwaji/waliwao watarajiwa!"
 
matokeo ya akili kubwa kuolewa na akili ndogo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom