zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
habari yako bhana,mjulie afya yake mkeo au Mume wako.
Onyesha mfano basi
habari yako bhana,mjulie afya yake mkeo au Mume wako.
Watu wanalala mzungu wa nne salamu ya nini.
ni aje aisee, nimeshaonyesha mfano
Huyo wa mzungu wanne ndo nampenda kudadadaddek,navaa soksi wiki nzima na sizifui,kisha usiku nalala bila kuoga,atageukia kwangu bila kupenda..
Onyesha mfano basi
dah kweli mfano. Me niko pouwah hofu kwako
nimestushwa na kichwa cha habari 'tetesi' nikadhani unatuletea ma news
looh!! wewe ni noma mbayaaa. Salimia kademu kako. com'on i mean yr wife. if there is anyî
ntawa ......TEMEKE.......