maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,507
- 6,455
Wadau huwa napata a very strong feelings ninapokutana na mtu niliyesoma nae shule ya msingi...hasa darasa moja,ninakuwa na atitude tofauti kuhusu mtu huyu....Ni nini hichi wadau? kwa mfano ukienda ofisi ya mtu uliyesoma nae primaryschool na ukakuta ana nafasi nzuri..lazima ulambe kazi....kuna nn katikati ya hili?