11,000 ni kumi na moja elfu
10,001 ni kumi elfu na moja....
Umewaza nini we mzee leo??? Hahahaaaa
Rahs sana hlo.
umeanza kuwa kama watoto wa Fesibuku??
Wanabodi,
Hebu nisaidieni hii, kama unajua kiswahili.......Ikiwa hii 11,000=elfu kumi na moja.
Je, hii 10,001:Shilingi ngapi?
Nisaidieni ndugu zangu.
11,000 ni kumi na moja elfu
10,001 ni kumi elfu na moja....
Umewaza nini we mzee leo??? Hahahaaaa