..supu...supu...

..supu...supu...

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
47,493
Reaction score
101,460
Baada ya jana wana CC kula bata la kutosha..nawakaribisha supu
..karibuni..
 
Athantr hata me ndo napata thupu baada ya mning'inio wa brajec!!!!!
 
Baada ya jana wana CC kula bata la kutosha..nawakaribisha supu
..karibuni..

bebii nakutafuta humu ndani kumbe upo kwenye supu....hebu mletee moja ya baridi niondoe huu mzio.....
 
Mie bado sijatoka kitandani ila nimemuomba mama V aniletee kikonyagi kisichana nimfukuze shetani ndo nijue taratibu zingine za wikendi
 
mbona hamkunialika brajac, au mnaogopa mvi zangu?
 
Back
Top Bottom