Huyu Anti ataweza kukaa ndani ya ndoa jamani?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,077
Reaction score
34,848
284111_155192184627355_1021346814_n.jpg

JE NDOA ATAIWEZA
ATAACHA BONGO MOVIE KUSHIKWA SHIKWA NA WAKINA RAY ,JB.NA HEMED
NA NGUO FUPI JE?
 
malay# tu mara nyingi kunguru................................................................????????????????@@????????????????
 
ataweza hivo hivo kimaigizoigizo.............

we MziziMkavu unaweza?!?!
 
Last edited by a moderator:
soma la shigongo la ijumaa! keshafumaniwa siku nyingiiiiiiiiii ndoa haina hata mwezi, na mwanaume anaitwa joff mkazi wa mikocheni! yaani once a hooker always a hooker!
 
teh teh teh teh teh teh teh teh teh, mi msanii akiniambiaa nimuoe sikatai ila nakula mzigo halafu nasepa zangu
 
wanafunzi wa udsm hasa wa mwaka wa kwanza , boom limeanza kuwaishia kwa sababu mbalimbali. kwa utafiti wavulana hutumia boom kuwanunulia madem zao chips, vyoda, mayai na kuwatoa za matumizi kama: shopping, saloon, voucher, modem n.k. kiukweli madem wa chuo ni zaidi ya memkwa, wanaconvicing power kubwa kwa kile wanachotaka. pia baadhi ya madem baada ya kujua mjini shule tunakula nao rice beans (RB) kama kawa . baadhi yao wanasema "kumbe RB ni tamu hivi" acha zenu au ndo kuishiwa tu. tubadilike
 
he,alikuwa anapelekewa kombora???
soma la shigongo la ijumaa! keshafumaniwa siku nyingiiiiiiiiii ndoa haina hata mwezi, na mwanaume anaitwa joff mkazi wa mikocheni! yaani once a hooker always a hooker!
 
wanafunzi wa udsm hasa wa mwaka wa kwanza , boom limeanza kuwaishia kwa sababu mbalimbali. kwa utafiti wavulana hutumia boom kuwanunulia madem zao chips, vyoda, mayai na kuwatoa za matumizi kama: shopping, saloon, voucher, modem n.k. kiukweli madem wa chuo ni zaidi ya memkwa, wanaconvicing power kubwa kwa kile wanachotaka. pia baadhi ya madem baada ya kujua mjini shule tunakula nao rice beans (RB) kama kawa . baadhi yao wanasema "kumbe RB ni tamu hivi" acha zenu au ndo kuishiwa tu. tubadilike

Mbona unaanza story za mirungi?
Hebu funguka kuhusu AUNT na sio mambo ya wanafunzi wa udsm, kama ulikua unataka kuzungumzia hao wanafunzi wa chuo ungeanda new topic.
 
Kwa nini usianzishe topic yako? unataka kufa kwa kudandia gari kwa mbele? hahahahaah watakucheka wenzio?
 
Jamaa ni Geofrey Maagi (JEFF) aliacha mke wa Ndoa na mtoto na Kuwa na Yvonne (anayedai kufumania) na Aunty Ezekiel. Walikuwa wanapigana kila siku nahisi picha NI ya zamani wanakomoana
 
mkuki kwenda polini haujakosea,bubu na bubu story zao hunoga zaidi, msiangalie upande mmoja je mume kampataje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom