Hongera sana erotica kwa kujaliwa mapacha!

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Ninayo furaha nyingi kukuandikia thread hii ya kukupongeza na kukupa pole Emerald wangu Erotica kwa kujifungua salama mapacha wa kike Trophina na Triphonia wiki ya mwanzo ya mwezi uliopita. Shukrani zote ziende kwa Mwenyezi Mungu aliyesikiliza maombi yetu na kugeuza taabu nyingi tulizozipata kuwa raha kubwa ya kuona vitoto viwili vyenye afya vikilia na kupiga kelele.

Shukrani pia zimwendee yule mwana JF aliyependekeza majina ya Trophina na Triphonia. Majina haya yalituvutia zaidi kuliko yale ya Chit na Chat kama alivyopendekeza rafiki yetu Kaunga. Mama na watoto wako kwenye afya nzuri sana Thanks God!
Copy to: 1) Kaunga (Tunaomba ututembelee zaidi kutoa ushauri na misaada ya kuwahudumia watoto na mama yaoi)
2) Elizabeth Dominic (Umefika wapi na mkiva?)
3) cacico Yummy BADILI TABIA (core team ya kuandaa sherehe ya ubatizo)
4) Kongosho (Tukihitaji ushauri wako usitutolee nje tafadhali)
 
Last edited by a moderator:
Duh, hongera kwa kuongeza idadi ya wapaka wanja. sisi tunawaombea afya njema na wakue watukute ili watuulize, hivi mliwezaje kuishi miaka yote hii katika maisha ya namna hii? Ugali mlenda jumatatu hadi jumapili!!!!!!!!!!!!!
 
Hongera na wewe baba mlishi wa T twins, niko njiani nakuja kuvispoil vinieces vyangu. Ila shem, ndio ukamfanyaje Erotica hadi nikamkanda na barafu; yaani hata 40 bado mkalisongesha! Khah!
 
Last edited by a moderator:
Shem Kaunga. Si inajua Erotica alivyo mchokozi?Alikuwa mpole kipindi chote cha ujauzito ila baada ya kujifungua
alipandwa na kichaa akang'ang'ania. Uvumilivu kwangu ukawa out! Let me be honest with you my shem.She actually messed it up by....... well, secretly drugging me! Mpaka leo najisikia kuumwa.
 
My caramel flavoured sweet darlin Hygei, You have been a darlin thru ol

this period. Vitu vizuri vinakuja mwenyewe utapenda! mwaaaaaah! :mwaaah: :mwaaah: :mwaaah:
 
Duh, hongera kwa kuongeza idadi ya wapaka wanja. sisi tunawaombea afya njema na wakue watukute ili watuulize, hivi mliwezaje kuishi miaka yote hii katika maisha ya namna hii? Ugali mlenda jumatatu hadi jumapili!!!!!!!!!!!!!

asante. papito Hygei anajiweza, mlenda unaliwa kwa hamu

si kwa lazima! watoto wameshafunguliwa acc uswiss kama mafisadi wa nchi.
 
Hongera na wewe baba mlishi wa T twins, niko njiani nakuja kuvispoil vinieces vyangu. Ila shem, ndio ukamfanyaje Erotica hadi nikamkanda na barafu; yaani hata 40 bado mkalisongesha! Khah!

teh teh teh! mwaaaaaaah! :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2: Me love you sana.
 
Shem Kaunga. Si inajua Erotica alivyo mchokozi?Alikuwa mpole kipindi chote cha ujauzito ila baada ya kujifungua
alipandwa na kichaa akang'ang'ania. Uvumilivu kwangu ukawa out! Let me be honest with you my shem.She actually messed it up by....... well, secretly drugging me! Mpaka leo najisikia kuumwa.

teh teh teh! Nimekomaje?
 
Hongereni kwa couple yenu, na infants niwatakie afya njema!
Kuzeni hao mkandamize wengine.
 
Back
Top Bottom