Wa Morogoro mpooo na wakule kunani ciaooo

Chinga boy

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
412
Reaction score
103
Hi wadau wa Moro ,mzee wa Tandahimba ameingia baada ya kuishi Tanga kwa almost 10 months na kuishia kucheza mdumange na baikoko sasa nimekuja Moro nipokeeni na mnijuze life liko vipi kikubwa zaidi nahitaji kushiriki kilimo ni wapi naweza pata shamba la kukodi.ASANTENI
 
pitiliza kaumba night park au kwa chipukizi ukafurahie maisha, chukua tahadhari wasije wa kumalima ndugu.
 
gombea ubunge hapo kupitia upinzani manake nasikia eti mbunge wao ni kiazi
 
Back
Top Bottom