JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hello Pipo vipi siku ya leo kwenu, mmejiandaaje kuishighulikia wikiendi??????????
0 Reactions
6 Replies
876 Views
Madame B akili yangu imenata,nashindwa kujua a wala be kwa ajili yako.japokuwa sikujui lakini feelings nilizonazo juu yako kwa kweli nasubiri wakati na muda muafaka wa kukuonyesha dhahiri,Madame B...
0 Reactions
103 Replies
5K Views
Haya wale wadau wa Chama Cha Wala Bata Tanzagiza{CHAWABATA} mpo? Weekend ndo inaanza. Muda wa kuondoa stress za wiki nzima ndo umewadia. Kama kawaida ya wala bata basi ni vyema kupeana direction...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
jamani turudi tuliko zoea. hakika wa mbili havai moja. mi nmekuja hapa kuangalia utaratibu wa kwenda zangu tabata lakini cha ajabu hii treni haionyesha dalili zozote za kuwashwa. na magari yote ya...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wana JF last week nilikuwa natoka job na kusimama na sista du mmoja pale posta kituoni tukisubiri gari ya mbezi ya kimara, ilipokuja watu waligombea kinoma mie mwenyewe ilibidi nikae pembeni ili...
2 Reactions
40 Replies
7K Views
Tarehe na siku kama ya leo zaidi ya miongo minne iliyopita ndio siku nilizaliwa! Happy birthday to me!
3 Reactions
30 Replies
2K Views
habari za leo wakuu Nimemiss nyumbahii kwa siku kadhaa.hii ni baada ya kupata ajali ya gari maeneo ya oldonysambo wiki mbili zilizopita baada ya gari yangu kupasuka gurudumu la mbele na kuacha...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Niko serious wadau. Nimeamka leo nkahisi maumivu kama bruises kwny makalio juu(chini kidogo ya kiuno). Awali nlipuuzia nkisema labda ni mkanda na kukaa muda mrefu mana nlisafiri kwa basi toka...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Jamani hii namba inasomekaje ( 10001 )
0 Reactions
9 Replies
1K Views
KDDDA Company Box Tarime APLICATION OF JOB I am aply to my job of security guard to you boss in you company of KDDDA. I am complete to Sitandad 7 examination certificate in 1997. My...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Shemeji langu Madame B,risasi zako ulizopga hewani zinawapata Machinga. Mpaka sasa wanakimbizwa wodini kusubiri dripu za ngogwe...na Mdarasini. Shemeji langu Muongozo Tafadhari.
0 Reactions
0 Replies
586 Views
Jamani ukisikia kut**ba kazi ndio huku. Hii siku sio nzuri kwangu
0 Reactions
16 Replies
1K Views
..husika na kichwa cha habari hapo juu... My kipenzi Arabela karibu Ugali na Sato samaki,pembeni kuna Fruit Mix.
1 Reactions
18 Replies
2K Views
ni maisha yamechagua ivyo au ni uzembe wenu tu?? kwa nn mdada (wasichana) unakua na kitambi aise... huna hata mtt wa dawa...tumbo kule... mnakula nn?? au mani*?? zimewazidi? sasa baba...
2 Reactions
56 Replies
4K Views
The night before the election, Mitt Romney was very confident & told his Wife Ann; "...this time tomorrow night, you'll be sleeping with the President of the United States". After Mitt's...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
After reading this your mind will not recgnize the the second the, now u re- read to find if its tru
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Mara nyingi binadamu tunapoteza muda kwa kujua au bila kujijua,mfano mdogo ni mimi niliyepoteza miaka minne nikisubiria msichana amalize masomo ili nifunge naye ndoa.Kilichonipata ni kuachwa na...
0 Reactions
2 Replies
915 Views
Mtu na mkewe wanazozana walipofika moshi wakitokea dar!. MKE:mbona tangu tufike hapa moshi unaniita MOSHLING?. MME: Heee wewe mwanamke upendwaje!.,mbona tukiwa Dar nakuita DARLING hulalamiki?.
0 Reactions
2 Replies
698 Views
Nape na ccm ni kama Kupe na Ng'ombe1: Ng'ombe anachinjwa Kupe hana habari! Ng'ombe anachunwa Kupe hana habari! Ngozi inawambwa Kupe hana habari! Ngozi ikianza kukauka kupe ndo anastuka! Alaa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanabodi, Najua Chit-Chat kuna vichwa makini vyenye uelewa na weledi wa hali ya juu...nisaidieni kujibu.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…