The Dude
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 1,029
- 464
Niko serious wadau.
Nimeamka leo nkahisi maumivu kama bruises kwny makalio juu(chini kidogo ya kiuno). Awali nlipuuzia nkisema labda ni mkanda na kukaa muda mrefu mana nlisafiri kwa basi toka mwanza jana.
Lakini nimeinspect vizuri usiku huu,na wifi/shemeji yenu kanitazama vizuri:hizi ni chale sio bruises. Amenipiga picha kwa simu i wish ningeupload hapa.
Binafsi sitaki kujipelekea kwny ushirikina ila kwa hali hii naogopa maana mtu umelala mzimaaah afu unaamka umechanjwa?
Wifi/shemeji yenu anasuspect ndugu yake ambaye amekuja hapa kwangu baada ya kumaliza kidato cha nne toka kijijini anaweza kuwa amehusika.
Ushauri wenu tafadhali: nifanyeje? Je ndio nimelogwa?