mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 620
habari za leo wakuu
Nimemiss nyumbahii kwa siku kadhaa.hii ni baada ya kupata ajali ya gari maeneo ya oldonysambo wiki mbili zilizopita baada ya gari yangu kupasuka gurudumu la mbele na kuacha njia.nashukuru mkanda ulinisaidia sikuumia sana zaidi ya kupata majeraha ya kukatwa na vioo.kwa muda wa siku 4 nililazwa hosptal badae nikaruhusiwa ila pia sikuweza kuingia humu.najua nimekosa mengi humu.yote kwa yote namshukuru mungu kwa kunirudisha tena.