Haya haya. Week end ndio hiyoooo imewadia

Haya haya. Week end ndio hiyoooo imewadia

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
11,556
Reaction score
7,113
Haya wale wadau wa Chama Cha Wala Bata Tanzagiza{CHAWABATA} mpo? Weekend ndo inaanza. Muda wa kuondoa stress za wiki nzima ndo umewadia. Kama kawaida ya wala bata basi ni vyema kupeana direction za mahali paliponoga. Weka location ya ulipo ili kujumuika pamoja na aliye karibu..
Ni mwendo wa kula BATA hadi kuku waone wivu... Mimi nipo hapa Business Park. Hapa Green acres house victoria.. Ndo kwanza naanza. Karibuni Baadaye nitakuwa Savanna Lounge ya Quality Plaza..
wow-its-friday.jpg
 
leo hapa sky lounge panahappen mbaya kabisa.....w/end hoyeeee....
 
Mi nipo kwa Fatuma ndembendembe, mugabe ndani ndani.....
ImageUploadedByJamiiForums1353082734.015879.jpg
Nikitupia hii dizeli ambayo nitaichakachua na kiroba.....saaaafi.
ImageUploadedByJamiiForums1353082986.541053.jpg
 
Leo sichezi mbali.. Niko hapa afri centre ilala

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kama kawa kama dawa niko kiwanja changu cha home Makirikiri pub buguruni kwa mnyamani
 
weekend hii kwangu imekaa kimnuso mnuso tu...leo Kimara Resort, kesho pande za Officers Mess then j2 namalizia katikati ya jiji huko...
 
weekend hii kwangu imekaa kimnuso mnuso tu...leo Kimara Resort, kesho pande za Officers Mess then j2 namalizia katikati ya jiji huko...

kwa hiyo wewe leo bill haikuhusu.....
 
Mi kuna sehemu nimeingia kumeniboa kweli! Nikaingia sehemu nyingine ukiangalia kuna gesti nimekunywa zangu eeee kumbe hakuna nyumba za wageni.
Nimeshindwa kugandana kabisa leo dah! nimerudi home kunywa supu ya mzazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom