Birthday!

Birthday!

Happy birthday KARIA
Mungu akuongezee miaka mingi na yenye furaha tele na Amani!
 
Tarehe na siku kama ya leo zaidi ya miongo minne iliyopita ndio siku nilizaliwa! Happy birthday to me!
KARIA hongera sana!ur my twin then!
HAPPY BIRTHDAY TWIN!
 
Last edited by a moderator:
hbd...
dah watoto wa november mbona wengi???
kuna snowhite... snochet... @Smilling Saint... wewe mwenyewe na wengineo... duh hongereni sana!!!!

we ya kwako lini nikuandalie maziwa, pampas, na matoy snowhite... ntamwandalia dompo, wengine serelack

mimi nina bahati bdy yangu inakuja siku ya sikuu na sikukuu yenyewe hafungamani na dini niandalieni tundovu
 
Haya haya..............sijui DINI yako ila MUNGU WAKO au allah wako akujalie uwe sehemu ya huduma kwa watz wenzako
 
Asanteni sana wooote kwa kunitakia kheri! Nami pia nawatakia kheri nyote muwe na maisha marefu yenye furaha na upendo mkubwa kama huu mlionionyesha! Mbarikiwe sana!
 
niaje pacha wangu snowhite? Umeamkaje? birthday yako ilikuaje?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom