NAPE na CCM

NAPE na CCM

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,007
Reaction score
168,594
Nape na ccm ni kama Kupe na Ng'ombe[SUP]1[/SUP]:

Ng'ombe anachinjwa Kupe hana habari!

Ng'ombe anachunwa Kupe hana habari!

Ngozi inawambwa Kupe hana habari!

Ngozi ikianza kukauka kupe ndo anastuka!

Alaa! Huyu ngo’mbe kumbe keshachinjwa!
 
Very true.

Nape-Nnauye-on-Milly-April-16-2012.png
 
Kwa hiyo unamaanisha nape ananyonywa na kupe ni mafisadi?...............Naona kweli ni mtumishi mzuri wa mafisadi
 
Back
Top Bottom