Siku mbaya huonekana asubuhi

Siku mbaya huonekana asubuhi

chardams

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
2,450
Reaction score
1,753
Jamani ukisikia kut**ba kazi ndio huku. Hii siku sio nzuri kwangu
 
wewe nae, umefanya nini tena huko serengeti!??? funguka
 
umeataka kachakachua faru wa Jk nini ?
 
Una hakika ndicho kimpigizacho kelele? Ndiyo hicho ukisemacho?
Kama sio mtu mzima wajitoa fahamu kuyaita maji mma! Mi nabohekekaje?

Teh teh teh teh teh teh teh.................
 
Back
Top Bottom