Mkaribishe la azizi wako chakula cha mchana...

Mkaribishe la azizi wako chakula cha mchana...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
..husika na kichwa cha habari hapo juu...

My kipenzi Arabela karibu Ugali na Sato samaki,pembeni kuna Fruit Mix.
 
Ahsante my swty hubby what a nice food.. Me ntakuja na achari
 
Lunch saa hizi? Hivi kumbe wewe msukuma eeh? Haya furahieni.

Leo lunch namsurprise Paw na cha mchana, usiulize how, where and what time. No details.
 
Mpenzi Filipo usichelewe ,ndio namalizia kutengeneza fruit salad!!!
 
Last edited by a moderator:
mie na my swirrry love muda si mrefu tutajongea hapo Serena kwenye ile bufeee ya ukweeh
 
Laaziz BADILI TABIA, nshaweka oda ya ugali wa muhogo na kisamvu pale break point. Bila wewe sitashiba ukae ukijua.

Tuje tujadili mustakabali wa threesome hii weekend. Si unajua cacico na Yummy hatunao kwa sasa?

Amarula yako na Guinness yangu vitakuwepo kutusindikiza.

Kam zis wei bebiii
 
Last edited by a moderator:
ooooohhhh my Darling.... pole kwa kazi, najua unaopenda sana kazi yako lakini bila kupata chakula hutoweza kuifanya.... ni muda wa lunch sasa please nenda kale.... Enjoy ur meal...
Luv & miss uuuuuuu.... Xoxoxoxoxo!!!!!!!
 
kudadeki hali mtu hapa....ni kupiga dash tu....kitambi chote hicho ule ya nini.....utakula tango na ndizi 2 za kuchemsha usiku.....naongea na wewe mtu chake.....
 
Last edited by a moderator:
Mi ndo naandaa. charminglady, Madame B, marejesho Ciello,
Preta karibuni sana.

ugali.jpg
 
Last edited by a moderator:
nijuavyo ratiba yako la lunch... hope now itakuwa unatumia kitu hiki hapa.....enjoy urself!

Fabulous-Fruit-Salad-Photos-1.jpg
 
Laaziz BADILI TABIA, nshaweka oda ya ugali wa muhogo na kisamvu pale break point. Bila wewe sitashiba ukae ukijua.

Tuje tujadili mustakabali wa threesome hii weekend. Si unajua cacico na Yummy hatunao kwa sasa?

Amarula yako na Guinness yangu vitakuwepo kutusindikiza.

Kam zis wei bebiii

.my husband ndo maana nakupenda....unajua haswa chakula nikipendacho....... Tupange mpango mkakati wa kumwokoa cacico......sijui tumteke nyara King'asti???
 
Last edited by a moderator:
wengine hapa wanashukuru tuu lakini kimoyomoyo anasema ''hichi ndio umeona cha kunletea??'' (anasonya kimoyomoyo)
 
My Black woman njoo hapa Naura springs kwaajili ya chakula!
 
Back
Top Bottom