habarini za leo ndugu zangu!
leo sijaamka vzr kabisa naumwa nina malaria na tonsils juu..hapa nasikia baridi sana na kichwa kinauma sana. Natamani kusoma posts za ndugu zangu humu ila nasoma kwa...
Nimechoka na pressure toka kila kona wakuu,kila kukicha unazeeka ,unazeeka na nikiuliza nazeeka kivipi wananiambia mpaka leo hujaoa tu bado unasubiri nini..??Au unataka wanao waje kukuita...
....Tafadhari jamani nasikia vidonge tajwa hapo juu vimeingia mjini hapa....mvitafute wale wenye Matatizo na kupenda kuwa na nyumba ndogo......
Jamani vidonge hvyo vidonge mnakunywa wote yaani...
The lawyer hopes you get into trouble...
The Doctor hopes you fall ill...
The Police hope you become a criminal...
The teacher hopes you are born stupid...
The coffin maker wants you dead...
..Mi nimetoka Mazoezi nilianza Saa kumi kamili...mpaka saa kumi na Moja...ndo natoka kwenda kituoni kupanda daladala kuelekea posta...
Dar huu mji haufai unafaa...swala kuwah kuamka halina...
Universal tanzanian jokes
SIJUI KAMA SIKU HIZI IPO HII!
1. Kupakwa GV kwenye kidonda
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa j2 tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa
'rangi mbili'
5. Kupamba...
Nilipanga mbegu DECI kama milioni nne hivi,kufikia leo sijui ningevuna ngapi jamaani, dah si bora ningeweka heshima TBL nikachangia pato la taifa, roho inauma
Hii ni kweli,
Mwalimu alikua akifundisha sentensi za kiarabu kwa mara ya kwanza kwa wanafunzi wapia, mambo yalikuwa hivi
Mwalimu: Lugha ya kiarabu haina herufi "O" au "V", mara nyingi majina...
A guy was dating a girl for six months & he got tired of the relationship. Later in the evening he took her out & bought a bottle of malt for her. Then after, he told the girl that the...
Hua nina tabia ya kupenda kusoma soma sana hasa maandishi ya kwene fulana; nilishawahi kukutana na maandishi ambayo mengi ni matusi au hayana maana kwa mvaaji; Mfano ninayoweza kuyakumbuka fasta...
Katika mahafali ya4 hapa Mkwawa iliyofanyika jmosi::::Naibu waziri wa Elimu katoa tamko kua wahitimu wa shahada ya Elimu wote watapangwa vijijini,na mikoa yetu ileeeeee......Hakuna Mwalimu...
No English dictionary has been able to explain the difference between this two words;"COMPLETE and FINISHED"Some people say there is no difference between COMPLETE ANDFINISHED,but there is:-When...
........Wish I could see you,
Wish I could talk to you,
Wish I could feel you.
It feels as the time has stopped,
And the day never goes.
Minutes are like hours,
And the day is spent like a...