Wadau habari zenyu binafsi!!!!!!!
nami leo nimemuota Madame B.... Ati tulikuwa mahali tunamteta lara 1 tukiulizana kwanini hajainekana kwenye "Kumbukumbuku ya marehemu Regia" Ndiposa tukapata...
Jamaa mmoja mkazi wa lamu amempa mkewe taraka 3 baada ya kukasirishwa na maneno yaliyoandikwa kwenye kanga aliyovaa mkewe.
Jamaa ambaye alisafiri kwa muda wa miezi 2,alishtushwa aliporudi na...
Sheria ya usingizi ya mwaka 2012 ibara ya 2, inasema;- "ndoto ni haki ya msingi ya kila asinziaye" kifungu cha 3 (c) cha sheria hiyo kinampa haki mtu yeyote kulala na kuota ndoto na kutakiwa au...
Wandugu wana JF na marafiki wote wa JF, napenda kuwapa habari njema kuwa nimepata Mtoto wa Kiume kwa mkewangu mpenzi. Nimempa jina "NSALA" kwa wale Wasukuma wekeni maana hapo kwenye Bold....
Nikivaa boxer kifaa yangu haikai vizuri. inawezekana sijajua zinavyotumika? Mi napiga boxer na trousers tu. naomba ushauri wa matumizi sahihi ya boxer pant.
Baada ya kusotea ajira kwa takriban mwaka mzima, hatimaye jana nimeitwa na kusaini mkataba na kampuni hii iliyojikita hapa nchini kwa miaka kadhaa sasa. Kuanzia sasa nitakuwa ni mmoja wa waajiriwa...
"Wahaya bwana...... Kujisifiaa imepitiliza.... Leo nimesikia hii kwenye matangazo ya vifo.....!NDUGU DUES RWEYEMAMU WA MASAKI ANASIKITA KUTANGAZA KIFO CHA MWANAE JOSE RWEYEMAMU WA OYSTERBAY...
Nyie kina Spike Lee Jipu,@globe C.T.U na genge lenu la haters,naona mkojo umewabana,katafuteni kichaka mkojoe mkalale.Hivi chitchat kwanini mnaishadadia hivo au mmesikia kuna mabazazi wanatafuta...
lsale:- Jamani huu ni mmea wa ajabu sana, tena wa mila wa kabila la Kichagga.
Mawandala ni mawe yanayochukuliwa kaburini kwa Mchagga aliye zikwa nje ya Moshi, ili kulihamishia kaburi lake Moshi...
Nimeutoa Ujumbe Huu kwa mdada mmoja Facebook akiwashauri wanawake/wadada wenzake nikaona ni-share na nyinyi.
"Wanawake acheni roho mbaya huko majumbani house girl kwako na yeye kwao ni mtoto...
TOO FUNNY!!!!
African Prayer!
Oh Lord we humble ourselves to you this day and ask you to forgive us our sins, although we have none.
This is because is not us who killed Jesus, it was the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.