JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mume na mke wameingia hoteli ya kifahari mume; wife unakula nini? Mke; utakachokula na mie hichohicho. Mume; mhudumu...!! Mke; naamu mkumbwa nikusaidie nini tafadhali? Mme; chips...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tangu nimeijua Jf na kuamua kujiunga nimefaidika na mengi,mojawapo ni kujuwa kwa undani siasa za Tanzania ambazo zamani nilikuwa nazisikia midomoni mwa watu wachache,sasa Jf imeweka kila kitu wazi...
3 Reactions
74 Replies
4K Views
Heeeheeeeeeeeeee......................
2 Reactions
10 Replies
2K Views
MOSHI=Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo; ROMBO=Ruhusu Ongezeko la Mapesa Bila Ombaomba; HIMO=Hata Ikipungua Mungu Ongeza; MARANGU=Mungu Angalia Raia na Ngawira Utuhakikishie; MAMBA=Mungu Ahidi...
2 Reactions
3 Replies
8K Views
.... member wa jf tubadilike sasa. humu ndani kumekua na tabia sikuhizi ya baadhi member kutofikiri. inapotolewa mada mara nyingi huishia kwenye marumbano, matusi na kejeli. uhuru wa kutoa maoni...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Mwanadada mmoja mrembo alienda mjini kufanya shopping,akapita mahali flani akaona muuzaji mmoja anauza kasuku elfu 25....akaamua kuulizia: Dem:"Mambo." Muuzaji:"Poa sista...nikusaidie nini?"...
1 Reactions
6 Replies
8K Views
Wanajukwaa legwa nawakubali Wandugu ktk harakati ya hapa na pale hp jukwaani! Mi ni mgeni lakini ninafuraha kuwa nanyi pale mtakapo nikubali kwani nimekuwa naperuz kitambo na mpaka sasa nimeamua...
2 Reactions
54 Replies
3K Views
Naamini imetoka mbali sanaa.pamoja na changamoto zinazoisonga lakini bado ni imara na inazidi kupata wageni wapya kila siku,mwanzo kabisa mie nilikuwa naingia kwa beep hatimae nimepiga kabisa...
5 Reactions
107 Replies
5K Views
kati ya misamìati iliyo maarufu hapa jamvini ni hii; -kugegeda -napita tu -mkuu nk ongezea kama vp! nawasilisha!
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hisia zako za kimapenzi,Nazungumzia mapenzi ya aina yoyote
0 Reactions
12 Replies
2K Views
natafuta marafiki wa kubadilishana ideas mim ni msichana i prefejinsia zote:bange:
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Ole wao serikali wanaozuia madanguro kwa maana wateja wataamia kwa wake za hao wanaozuia uwepo wa mdanguro . Wito wangu ni kuwa yale mambo ya nguza na wanawe yasijirudie. Amiin
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wahenga walisema mke wa mtu sumu.Wakimahanisha kuwa mwanamke aliye kwisha olewa na yupo ndani ya ndoa ajahachika bado.Endapo ukatokea kumpenda na akapendeka kwako na kutoka nje ya ndoa yake pia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kanumba na sharobaro wanamuliza sajuki 'vipi mwenzetu mbona umekuja mapema ivi ndo kwanza mwanzo wa mwaka?. Sajuki alichowajibu 'nimewaletea ving'amuzi'...... to be continue hahaha
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Salamu wakuu, poleni kwa shughuli, onyo kwa memba wapya wanaoingia humu ndani. Mmekuta maisha yetu mazuri tuuuu hatuna stress wala mawaaa ila mmekuja mnatuchafulia hali ya hewa mimi kama mimi...
5 Reactions
103 Replies
6K Views
Life is multidamentioned that is from no where else. Why most of 3rd world countries such as Tanzania Faced poor and bad life to their citizens? This is due to the factos contributy to the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni aje wakuu, don't know where else to post this. Alright. Kusudi la hii thread ni ku post mysterious, strange, weird facts about life, nature and aliens - a kind of discovery channel. can't...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwanza kabisa ningependa kuwasalimu na kuwatakia ijumaa njema. Kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha habari hapo juu uzalendo wetu umepotea kbs zamani kulikuwa na ushirikiano mkubwa sana hasa ktk...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Nchi hii ambayo ilikuwa "Fomdi" mnamo "wan naintiin sixte fo(11964), mie nakwambia Kwa sasa inatisha Kwa Rekodi Za Vituko Kwenye kadunia ketu.. Unaambiwa wamekanasa kakijana kadogo, miaka 24...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom