JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimeona kupitia TBC - 1 kwenye maazimisho ya siku ya Mapinduzi trh 12.1.2013 mlinzi wa kike wa mke wa Rais wa SMZ Mwanamwema Shein akimfuatilia mama kwa nyuma huku akimwekea mkono kama anamkingia...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Aliye tayari anijulishe Sitaki PM, wekeni mambo hadharani. Vigezo na masharti kuzingatiwa. Madame B, Paloma, charminglady, Nicole, Kaunga, Kipipi, Asnam, Preta, marejesho, Lisa, nivea...
6 Reactions
105 Replies
6K Views
Ole wao serikali inayozuia madanguro. Kwa maana tukiwalia wake zao yasijirudie ya nguza na wanawe.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
mlevi na mchungaji walikutana ndani ya daladala, sasa mchungaji hakupendezwa na kitendo cha yula mlev kulewa ndani ya daladala akaamua kumuuliza swali na mazungumzo yao yalikua hivi:mchungaji...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Baba aliona mkwe amepunguza mapenzi kwake, ni baada ya mke wake kujifungua mtoto ,bac akaamua kutafuta sumu ya kumuua mtoto akaamka mapema,akampaka mke wake sumu kwenye maziwa ili mtoto akinyonya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Huyu jogoo nilimkuta tandale kwa tumbo akiwa anaugulia ugonjwa wa chekelea Hahahaaaaa wadada tumesomana naju
0 Reactions
0 Replies
3K Views
ZUZU; Unajuwa zumbukuku dhambi zingekuwa amna sema daaa adam na eva ndio wametuponza ZUMBUKUKU;kwann leo umewaza hivyo?? ZUZU;Adam na Eva wangekuwa wachina,dhambi isinge kuwepo ,kwan wangemla...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Bishanga ndo nshajizeekea jamani,mai waif mama The secretary bishanga choka mbaya, hawara yangu Kongosho ndo kabisa anatembea na dripu,kimada wangu Mamndenyi ndo kakongoroka bi kidude ana...
7 Reactions
140 Replies
8K Views
Unapewa taarifa kuwa mumeo wa ndoa yuko na hawara yake wamekaa garden, ile unafika karibu yao unasikia kimada wake anamwambia "Honey chukua hii laki 7 hizi umpelekee mkeo nyumbani umwambie...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wageni wengine ni noma sana, hebu angalia hapa: Mwenyeji: Karibu mgeni! Sijui utatumia nini, soda au chai? Mgeni: Nitakunywa soda wakati nasubiria chai ichemke!
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Hili jamaa na ukubwa wake, lilichukua kibano kutoka kwa Kabinti kadogo kenye Mkanda Mweusi, dahh hadi anatia huruma. Alibaki tu akifoka " I will kick your a$$." Hapo alishawekwa chini kama...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Siku moja baba alimwaga mkewe anaenda safari kikazi ambaya ingemchuwa miezi 6 nje ya mkoa, sasa wakati mkewe anamsindikiza ilikuwa hv: Mke: Mme wangu ntakumisi kweli ila sina namna jinsi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nadhani wataalamu wa Kiswahili watusaidie katika hili kwani si kiswahili fasaha mf, NAKALIA: Chang'ombe,Kigogo,Upanga nk
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wadau mnisaidie ilipo location nataka na mie nipate walau ndyofu moja. . .na pia namtafuta mmiliki wake Erickb52 Cc:@Filipo & Arushaone
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Ndugu wana Jf hasa wana Chit-Chat , tuweni na mpangilio wa kuanzisha thread, na sio tu ukijisikia kuanzisha thread basi unaanzisha na matokeo yake tunakuta hata baadhi ya thread hukosa...
1 Reactions
52 Replies
3K Views
Habari wana Jf Nimekuwa nikifuatilia matukio mbali mbali ya wabongo walivyo na akili lakini hawatumii akili ya kwa maendeleo bali kwa kuharibu au kurudisha maendeleo nyuma. Nakumbuka kulikuwa na...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Thread unayosoma kwa sasa haichekeshi, jaribu tena nyingine
0 Reactions
1 Replies
1K Views
siku moja mwalimu wa sayansi aliingi darasani kwa akinana kizibo,kizibo alikuwa na swali la mtego kwa mwalimu wake,mambo yalikuwa hivi: Kizibo.Eti mwalimu,hivi ukichanganya sabuni ya OMO na FOMA...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
kwa leo hakuna mtu anandugu yake amepanda treni la mwakiembe leo maana dereva alijua ni long trip so kanyoosha na sasa ndo wako tabora wanarudi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom